Msaada njia panda (vifaa vya ujenzi)

DullyM

Member
Mar 24, 2011
72
18
Wandugu najua humu hakuna lisilo tatuliwa angalau kwa mawazo!! Hivi machine za kufyatulia matofali nitazipata kwa kiasi gani na wapi? natanguliza shukrani za dhati!!
 
Hebu toa maelezo ya kutosha mkuu, Unataka mashine z kufyatua matofali ya aina gani?
 
Kama unataka mashine za kufyatulia interlocking bricks (manual) nenda SIDO au BICO chuo kikuu cha dar es salaam.
 
Back
Top Bottom