Msaada: Njia bora zaidi ya kupokea fedha kutoka US ni ipi?

Paypal mpaka uwe na line mm uwa nanunua kwa jamaa yuko tanga, ukifungua paypal ya kenya kwa kutumia line ya kenya kazma pia ktambulisho kiendane na majina yaliyo sajili line na ndiyo uyatumie kwenye acc ili uweze kutia pesa
Asante mkuu, kama inawezekana ungenuunganisha na huyo jamaa.
 
BOT wanatuumiza, hivi ni sababu gani hasa za kufungia paypal, maana ni sasa hivi dunia imebadilika.
IMG_20211024_091833.jpg
 
Mkuu mimi nina visenti kadhaa online, pale kuna njia mbili za kutoa skrill na paypal, nikitaka kufungua paypal ya kenya napataje laini ya safaricom. Skrill kuverify mziki maana sina ID ya nida. Asante.
Safaricom ya Kenya kwa m tanzania lazima passport
 
Mh linafnya kazi zake kisiri sana hilo shirika,kuna wakat linafungwa kuna mda tena kama unajua kisomali inakua ni rahisi kupata huduma.

Ni shirika zuri sema bongo sio ,hatupendi vizuri
Dahabshill hakuna siku hizi tanzania
 
Mh linafnya kazi zake kisiri sana hilo shirika,kuna wakat linafungwa kuna mda tena kama unajua kisomali inakua ni rahisi kupata huduma.

Ni shirika zuri sema bongo sio ,hatupendi vizuri

Wanawafanyia figisu tu ila wako vizuri na kama ni vigezo vya USA wamepitia sana na wamefuzu mengi
Wapo wakala wengine hufungiwa ila sio hawa
Kama wamefunga ujue hiyo branch hela zimeibiwa na wasiokuwa waaminifu lakini wapo wapo sana
 
Skrill iko fasta ila inamakato Zaidi ya mwigulu na mnaosema kuverify mm cjaverify na inapiga kazi vzur tu
Ndio maana wanakukata makato makubwa. Skrill usipoiverify wanakula ela nyngi. Skrill ni cheap kuliko hata paypal. fanya uiverify ni rahisi tu
 
Back
Top Bottom