whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,758
- 8,897
Asante mkuu, kama inawezekana ungenuunganisha na huyo jamaa.Paypal mpaka uwe na line mm uwa nanunua kwa jamaa yuko tanga, ukifungua paypal ya kenya kwa kutumia line ya kenya kazma pia ktambulisho kiendane na majina yaliyo sajili line na ndiyo uyatumie kwenye acc ili uweze kutia pesa