Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 28,442
- 45,720
Kuna Dahabshiil money transfer kwa Dar ipo Livingstone st
Wana Branches duniani kote
Wana Branches duniani kote
Natumia paypal ya kenya, natumia payoneer, natumia skrill, transferwise kwa sasa inajulikana kama wise. Unaweza fungua paypal ya kenyaMkuu jaribu kusearch hapa Jf utaona kuna malalamiko mengi ya watu kuhusiana na trasaction za kimataifa, haswa kwa Paypal.
Vilevile huyu mtu nayefanya naye kazi, Anasema kwamba kwa security reasons, bank aliyofungulia account hairuhusu kutumia apps hizo kufanya transactions za kimataifa. Inakuwa inamletea Error katika kuthibitisha kutuma malipo.
Pini nyingi zilianza enzi yake,angalia thread za nyuma utaona.Hii ilikuwepo ni after jiwe
Hata mimi nilikua natumia safaricom ya Kenya mpesa natuma vodacom mpesa hata hiyo imefungwaNatumia paypal ya kenya, natumia payoneer, natumia skrill, transferwise kwa sasa inajulikana kama wise. Unaweza fungua paypal ya kenya
Western union Inafanya cash collect haina shida kilicho zuiliwa ni pesa za kwenye simuWestern union nayo haifanyi?
Imefungwa paypal imefungwa safaricomHata mimi nilikua natumia safaricom ya Kenya mpesa natuma vodacom mpesa hata hiyo imefungwa
Kama wamekufungia paypal fanya verificationImefungwa paypal imefungwa safaricom
Napata shida kuverify Skrill Acc yangu kila nikiUpload bank statement wanaikataa. Msaada tafadhariskrill
ndio njia safi na unaweza kupeleka benki yako.bila tatizoView attachment 1980357
Napata shida kuverify Skrill Acc yangu kila nikiUpload bank statement wanaikataa. Msaada tafadhari
Naambiw siwezi kukuDm
Fungus account localbitoin au yellowcard arafu mtumie wallet dk30 unakunja mkwanjwa kwa account au moboli wallet.Natumaini mnaendelea vema katika harakati za kuusaka mkate wa kila siku.
Nimekuja hapa nahitaji msaada, kuna malipo natakiwa kupokea, lakini njia nilizokuwa natumia kupokea fedha kutoka kwa watu wengine wa hukohuko US leo zimenigomea kwa huyu mtu anayetaka kutuma malipo.
Nimetumia sendwave, World Remit, Remitly, na app nyingi za kufanya malipo kuja Mobile money (Airtel money, Mpesa) zimenigomea.
Nitashukuru nikipata ushauri utakaonisaidia kuweza kupokea fedha.
Natanguliza shukrani.
Iwe na physical address fanya kuedit weka namba ya mtaa mpaka namba ya nyumbaNapata shida kuverify Skrill Acc yangu kila nikiUpload bank statement wanaikataa. Msaada tafadhari
Ukiwa na haraka ya pesa local bitcoin unakuta inakata maana mnunuzi ananunua kwa rate ndogoFungus account localbitoin au yellowcard arafu mtumie wallet dk30 unakunja mkwanjwa kwa account au moboli wallet.
Unaweza kunionyesha screenshot.. Maana me nilienda kuchukua benki, nafikiri ni card statement, sidhani kama ina details hizo lakin nasikia kuna watu wanatengeneza hizo docsIwe na physical address fanya kuedit weka namba ya mtaa mpaka namba ya nyumba
Dah unfortunately hapa sina ila chukua statement hata cedb wanayotuma kwenye ema weka physical address namba ya mtaa namba ya nyumba hvyo. Mimi uwa naweka tu namba zozoteUnaweza kunionyesha screenshot.. Maana me nilienda kuchukua benki, nafikiri ni card statement, sidhani kama ina details hizo lakin nasikia kuna watu wanatengeneza hizo docs
Akikamilisha mie ntamnunulia kwenye platform hiyo.kwa bei ya siku husika,nikimpunja asirealize bitcoin zake tu.Ukiwa na haraka ya pesa local bitcoin unakuta inakata maana mnunuzi ananunua kwa rate ndogo
Utakuwa umemsaidia maana mm mara kadhaa nikiwa na haraka nakuta napoteza kias flan.Akikamilisha mie ntamnunulia kwenye platform hiyo.kwa bei ya siku husika,nikimpunja asirealize bitcoin zake tu.
Mkuu mimi nina visenti kadhaa online, pale kuna njia mbili za kutoa skrill na paypal, nikitaka kufungua paypal ya kenya napataje laini ya safaricom. Skrill kuverify mziki maana sina ID ya nida. Asante.Utakuwa umemsaidia maana mm mara kadhaa nikiwa na haraka nakuta napoteza kias flan.
Paypal mpaka uwe na line mm uwa nanunua kwa jamaa yuko tanga, ukifungua paypal ya kenya kwa kutumia line ya kenya kazma pia ktambulisho kiendane na majina yaliyo sajili line na ndiyo uyatumie kwenye acc ili uweze kutia pesaMkuu mimi nina visenti kadhaa online, pale kuna njia mbili za kutoa skrill na paypal, nikitaka kufungua paypal ya kenya napataje laini ya safaricom. Skrill kuverify mziki maana sina ID ya nida. Asante.