Msaada: Njia bora zaidi ya kupokea fedha kutoka US ni ipi?

Mkuu jaribu kusearch hapa Jf utaona kuna malalamiko mengi ya watu kuhusiana na trasaction za kimataifa, haswa kwa Paypal.
Vilevile huyu mtu nayefanya naye kazi, Anasema kwamba kwa security reasons, bank aliyofungulia account hairuhusu kutumia apps hizo kufanya transactions za kimataifa. Inakuwa inamletea Error katika kuthibitisha kutuma malipo.
Natumia paypal ya kenya, natumia payoneer, natumia skrill, transferwise kwa sasa inajulikana kama wise. Unaweza fungua paypal ya kenya
 
Natumia paypal ya kenya, natumia payoneer, natumia skrill, transferwise kwa sasa inajulikana kama wise. Unaweza fungua paypal ya kenya
Hata mimi nilikua natumia safaricom ya Kenya mpesa natuma vodacom mpesa hata hiyo imefungwa
 
Natumaini mnaendelea vema katika harakati za kuusaka mkate wa kila siku.

Nimekuja hapa nahitaji msaada, kuna malipo natakiwa kupokea, lakini njia nilizokuwa natumia kupokea fedha kutoka kwa watu wengine wa hukohuko US leo zimenigomea kwa huyu mtu anayetaka kutuma malipo.

Nimetumia sendwave, World Remit, Remitly, na app nyingi za kufanya malipo kuja Mobile money (Airtel money, Mpesa) zimenigomea.

Nitashukuru nikipata ushauri utakaonisaidia kuweza kupokea fedha.

Natanguliza shukrani.
Fungus account localbitoin au yellowcard arafu mtumie wallet dk30 unakunja mkwanjwa kwa account au moboli wallet.
 
Fungus account localbitoin au yellowcard arafu mtumie wallet dk30 unakunja mkwanjwa kwa account au moboli wallet.
Ukiwa na haraka ya pesa local bitcoin unakuta inakata maana mnunuzi ananunua kwa rate ndogo
 
Iwe na physical address fanya kuedit weka namba ya mtaa mpaka namba ya nyumba
Unaweza kunionyesha screenshot.. Maana me nilienda kuchukua benki, nafikiri ni card statement, sidhani kama ina details hizo lakin nasikia kuna watu wanatengeneza hizo docs
 
Unaweza kunionyesha screenshot.. Maana me nilienda kuchukua benki, nafikiri ni card statement, sidhani kama ina details hizo lakin nasikia kuna watu wanatengeneza hizo docs
Dah unfortunately hapa sina ila chukua statement hata cedb wanayotuma kwenye ema weka physical address namba ya mtaa namba ya nyumba hvyo. Mimi uwa naweka tu namba zozote
 
Utakuwa umemsaidia maana mm mara kadhaa nikiwa na haraka nakuta napoteza kias flan.
Mkuu mimi nina visenti kadhaa online, pale kuna njia mbili za kutoa skrill na paypal, nikitaka kufungua paypal ya kenya napataje laini ya safaricom. Skrill kuverify mziki maana sina ID ya nida. Asante.
 
Paypal mpaka uwe na line mm uwa nanunua kwa jamaa yuko tanga, ukifungua paypal ya kenya kwa kutumia line ya kenya kazma pia ktambulisho kiendane na majina yaliyo sajili line na ndiyo uyatumie kwenye acc ili uweze kutia pesa
 
Back
Top Bottom