Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,219
- 1,785
Natumaini mnaendelea vema katika harakati za kuusaka mkate wa kila siku.
Nimekuja hapa nahitaji msaada, kuna malipo natakiwa kupokea, lakini njia nilizokuwa natumia kupokea fedha kutoka kwa watu wengine wa hukohuko US leo zimenigomea kwa huyu mtu anayetaka kutuma malipo.
Nimetumia sendwave, World Remit, Remitly, na app nyingi za kufanya malipo kuja Mobile money (Airtel money, Mpesa) zimenigomea.
Nitashukuru nikipata ushauri utakaonisaidia kuweza kupokea fedha.
Natanguliza shukrani.