bunyebunye
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 530
- 676
Habari wakuu, poleni na majukumu.
Kama kichwa cha post hii kinavyosema, naomba wataalamu munifahamishe Android application ninayoweza kutumia kuedit video clips au kutengeneza video kupitia picha ili niziweke kwenye chaneli yangu ya youtube.
Natanguliza shukrani na karibuni kwa michango yenu.
Bunyebunye.