MSAADA NISSAN VANETTE

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
136
Wataalamu wa magari naomba msaada wa kitaalamu, nina gari tajwa hapo juu, ni mara yangu yakwanza kuimiliki sasa umefika wakati nahitaji kubadilisha hydrauric ya gia box, niliponunua na kumpelekea fundi hakuona koki kwa ajili ya kudrain ile ya zamani na hapo ndipo nikaanza kuuliza wengine, fundi mmoja akasema gari hizo huwa hazibadilishiwi oil ya gia, mwingine akasema nitoboe tundu chini kwenye sampo niweke bolt, mwingine akasema legeza main pipe na uwashe gari yaani mpaka hapa
1479980686379.jpg
sijaelewa nifanye nini?
 
Wataalamu wa magari naomba msaada wa kitaalamu, nina gari tajwa hapo juu, ni mara yangu yakwanza kuimiliki sasa umefika wakati nahitaji kubadilisha hydrauric ya gia box, niliponunua na kumpelekea fundi hakuona koki kwa ajili ya kudrain ile ya zamani na hapo ndipo nikaanza kuuliza wengine, fundi mmoja akasema gari hizo huwa hazibadilishiwi oil ya gia, mwingine akasema nitoboe tundu chini kwenye sampo niweke bolt, mwingine akasema legeza main pipe na uwashe gari yaani mpaka hapa View attachment 438870sijaelewa nifanye nini?
Sasa hili jukwaa halina wataalamu wa magari? Kusudi lake ninini sasa mbona hakuna msaada?
 
mkuu hapana hao sio mafundi sizani kama kuna garioil yake hadi utoboe ndio utoe koki ipo kwa pembeni kuna benz moja ilikuja ilikuwa kama hivo tatito hao mafundi wako hawako makini kwani ww uko wapi?
 
Sorry ni uzi wa siku nyingi, lakini huitaji kubadiri oil ya gear box, na ndo maana magari ya kisasa hayana cock ya ku drain
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom