Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,762
- 4,576
Wakuu nisaidieni nipande magari ya wapi na nishukie wapi?
Nenda hapo Tanesco panda gari za Temeke/Mbagala shuka kituo cha Tazara.Wakuu nisaidieni nipande magari ya wapi na nishukie wapi?
Shukrani mkuuNenda hapo Tanesco panda gari za Temeke/Mbagala shuka kituo cha Tazara.
Alafu unatembea tu hapo utamuuliza mtu yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nisaidieni nipande magari ya wapi na nishukie wapi?
Asante mkuutembea uje hadi hapa wanaita riverside au songas panda magari yanayoenda mbagala au temeke shuka kituo kinaitwa Tazara
Natoka KolomijeMbona husemi unatoka wapi??
Siyakukothamela Sonini na nini
Shukrani sanaFanya hivi
Panda magari ya Gongo la mboto/ Temeke/ Mbagala kisha shuka Tazara.
Ukishashuka Tazara kuwa kama unaenda Mjini uelekeo wa Flyover kuelekea mjini, Mwisho wa flyover upande wa kulia kuna TBC hapo
Siyakukothamela Sonini na nini
Ita UBERWakuu nisaidieni nipande magari ya wapi na nishukie wapi?
Mkuu google map inakupa ramani za barabara na maeneo muhimu ila haikwambii ni magari gani hupitia barabara hizokama una smartphone tumia google map.... mm mwenyewe the first time natoka mkoani kuja kufanya interview mikocheni niloitumia google map ikanipeleka hadi mlangoni
vyumaIta UBER
TBC unaenda kufanya nini TBC.
Kama si uchuro ni nini? Yaani TBC kabisa?
You are not serious
Natoka Kolomije
vyuma
Naimba nyimbo za kisukuma kwa mtindo wa kisasa (hip-hop)Daa!!! Mkoromije mwenzangu ulikumbuka kubajeti nauli ya kurudi koromije!!!!
TBC unafuata nn? Au unaenda kutambulisha nyimbo yako ya kuhamasisha Serengeti Boys!!!!
Makoye sana Ngalo!!!