Msaada: Nipo Ubungo bus terminal, nahitaji kwenda ofisi za TBC Tazara

tembea uje hadi hapa wanaita riverside au songas panda magari yanayoenda mbagala au temeke shuka kituo kinaitwa Tazara
 
Fanya hivi
Panda magari ya Gongo la mboto/ Temeke/ Mbagala kisha shuka Tazara.

Ukishashuka Tazara kuwa kama unaenda Mjini uelekeo wa Flyover kuelekea mjini, Mwisho wa flyover upande wa kulia kuna TBC hapo
Wakuu nisaidieni nipande magari ya wapi na nishukie wapi?

Siyakukothamela Sonini na nini
 
Fanya hivi
Panda magari ya Gongo la mboto/ Temeke/ Mbagala kisha shuka Tazara.

Ukishashuka Tazara kuwa kama unaenda Mjini uelekeo wa Flyover kuelekea mjini, Mwisho wa flyover upande wa kulia kuna TBC hapo

Siyakukothamela Sonini na nini
Shukrani sana
 
kama una smartphone tumia google map.... mm mwenyewe the first time natoka mkoani kuja kufanya interview mikocheni niloitumia google map ikanipeleka hadi mlangoni
 
kama una smartphone tumia google map.... mm mwenyewe the first time natoka mkoani kuja kufanya interview mikocheni niloitumia google map ikanipeleka hadi mlangoni
Mkuu google map inakupa ramani za barabara na maeneo muhimu ila haikwambii ni magari gani hupitia barabara hizo
 
Daa!!! Mkoromije mwenzangu ulikumbuka kubajeti nauli ya kurudi koromije!!!!
TBC unafuata nn? Au unaenda kutambulisha nyimbo yako ya kuhamasisha Serengeti Boys!!!!
Makoye sana Ngalo!!!
Naimba nyimbo za kisukuma kwa mtindo wa kisasa (hip-hop)
 
Back
Top Bottom