Msaada nipo maktaba naomba title la kitabu kizuri cha HUMAN PSYCHOLOGY

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,162
2,000
Wakuu mimi ni mfuasi mzuri wa psychology napenda sana kumsoma mtu ili nijue jinsi ya kuintereact nao tafadhali mwenye kujua kitabu kizuri cha HUMAN PSYCHOLOGY aniambie title na mwandishi asanteni
 

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
1,064
2,000
1. The Psychology of Human Relationships by Eric Berne, M.D.
2. How the World Sees You: Discover Your Highest Value Through the Science of Fascination by Sally Hogshead
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom