Msaada: Nini tofauti kati ya bachelor of science educatn and B.of science in education? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Nini tofauti kati ya bachelor of science educatn and B.of science in education?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by fahad1208, Aug 31, 2012.

 1. f

  fahad1208 Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nini tofauti kati ya B.of science edctn and B.of scienc in edctn? Ukisoma unaweza kuwa nan?
   
 2. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 776
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  mmoja anaandaliwa kuwa mwalimu wa secondari (BSC with education) anakuwa na masomo mawili ya kufundisha na kozi chache sana za ualimu na mwingine mwalimu wa vyuo vya ualimu (BSC in education) anakuwa na somo moja la kufundisha na makozi kibao ya ualimu
   
 3. f

  fahad1208 Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  vp kuhusu science education?
   
 4. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 776
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  The same kwa sababu utakachokuwa unasoma ni masomo ya ualimu katika mwelekeo wa sayansi na si arts. ambapo utalazimika kuwa na somo moja la kufundisha ambalo ni la syayansi let say biology or chemistry or physics or math or.....
   
 5. I

  Izzo G JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 417
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wakuu vp hii inayoitwa barchelor of science in physics inawaandaa watu gan? Na ni zp sehemu unazoweza kuajiriwa ukiwa na hii barchelor au ndo kuishia ualim wa secondary?
   
Loading...