njoo kwetu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 801
- 1,786
Naomba msaada wenu. Wife wangu amekuwa na tatizo la kutopata usingizi wakati wa usiku na mjqmzito wa miez 3.
Hii hali imekuwa tete sasa. Kwa maana anaweza asilale hata wiki nzima wakati wa usiku lakin ikifika midaa ya 12. Hapo anapata usingiz mpka midaa ya saa 4.
Sasa hofu yangu ni afya yake na afya mtoto tumboni.
Msaada jamani