Msaada:Nini sababu ya maiti kutokwa na damu mpaka wakati wa kuzikwa ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada:Nini sababu ya maiti kutokwa na damu mpaka wakati wa kuzikwa ?

Discussion in 'JF Doctor' started by BAOBAO, Jan 7, 2013.

 1. BAOBAO

  BAOBAO JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2013
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 1,757
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Heri ya mwaka mpya!!! Wakuu hasa wenye ufahamu wa kuhusu tatizo la maiti kutokwa na damu puani na masikioni mpaka watu kuziba kwa pamba sehemu zote za mwili zinatoka damu.Naomba msaada au ushauri kwa sababu leo tena,tunamzika ndugu ambaye amepatwa na tatizo hili! Nakumbuka,tulipatwa na msiba wa ndugu yetu aliyeanguka ghafla njiani na kufariki huko Lindi vijijini;mpaka anazikwa Mbeya akiwa ana siku 4 bado alitokwa na damu inayonuka sana! Nipo msiba na umeme ni shida.
   
 2. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2013
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,618
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Pole sana kwa kufiwa. Ila sababu siijui. Ngoja akitokea anayejua atatujuza.
   
 3. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2013
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,816
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  Animals bleed from the mouth or nose directly after death because of internal bleeding, which may be either from trauma or disease/infection. Blood, like most fluids, travels the course of least resistance and gravity when it flows.

  Flow of other fluids mixed with blood usually comes as decomposition progresses and pressure creates new avenues for expelling them, such as burst ear drums or bursting of organs into other organs or areas having previously expelled their contents.

  The lower digestive track may or may not release its contents immediately or shortly after death, due to lack of anything there (chronic health problems, diet or starvation/dehydration) or organic/structural obstructions that hinder the action. It can expel blood, if any inflammation there recedes after death and the large amount of blood bursts walls/capillaries. Force trauma to the area can also cause this to happen immediately. Usually what is in the lower track comes out the bottom of the torso, because of the structure of the intestines.


  Source: Why do mammals bleed out of the mouth and nose after death ? - Straight Dope Message Board
   
 4. Niwemugizi

  Niwemugizi JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2013
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Kule kwetu ni direct marehemu kalogwa hakuna vya blood circulation wala nini, by the way kwa nini itokee kwa baadhi ya marehemu na wengine isitokee ina maana hao ambao haitokei wanakuwa hawana hiyo blood circulation. NI UCHAWI NDUG MTOA MAADA MAREHEMU KALOGWA.UNAPOONA MAREHEMU ANATOKWA NA JASHO AMAN DAMU MASKIONI NA PUANI BASI NI UCHAWI
   
 5. C

  Chibolo JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2013
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 2,810
  Likes Received: 1,066
  Trophy Points: 280
  Huyo kauawawa kwa tunguli.
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2013
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,498
  Likes Received: 5,408
  Trophy Points: 280
  wanakua wamemfanya msukule. mia
   
 7. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2013
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hata na sisi huku kwetu Nyakanazi na maeneo yote ya Bwanga maiti ikiwa na jasho ama inatokwa na damu mdomoni ama maskioni lazima mchawi atafutwe. But kwa sisi tunaoamini katika Kristu hatuyajui mambo ya uchawi maana tunashinda na zaidi ya kushinda katika yeye atutiae nguvu
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2013
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,872
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Katika vitu ambavyo mchawi anapata wakati mgumu sana,ni pale ambapo marehemu yule aliyechukuliwa msukule anapowekwa nyuma ya mlango huwa anashuhudia kila kitu kinachoendelea mule ndani ie kipindi watu wamejazana na wengine wanalia,yule msukule huwa anamuuliza yule mchawi ni kwann watu wamejaa na wanalia,huwa ni wakati mgumu sana anaupata kujibu haya maswali toka kwa msukule...inaaminika ukikosea kujibu huwa yule jamaa nyuma ya mlango anaweza kutoka kabla ya kuzikwa(mgomba), na wakati mgumu ni pale mait#msukule unapotoa damu ama jasho,huwa ni inshu sana kama wana mkiamua kufuatilia...Inasemekana ukishaona dalili ya mtu kuchukuliwa msukule..labda anaumwa ghafla..kama unajua kabisa mtu flan ndo anataka kusababisha kifo,we mwache mgonjwa kwa haraka sana na mtafute huyo mbaya wake,ukiwah kumuona na mgojwa wako atawah kupona..kwani utawahi kuzikata zile sala au maneno anayoyasema wakati msukule unaendelea kuumwa..kuna masimulizi mengi kuhusu hz imani anyway.
   
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2013
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,790
  Likes Received: 1,593
  Trophy Points: 280
  yaani mkuu ulivyosimulia na hii avatar yako vimenifanya nikuogope ile mbaya dah! badili avatar mkuu.
   
 10. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2013
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 28,717
  Likes Received: 7,854
  Trophy Points: 280
  Ujinga ndo huu...
   
 11. k

  kisukari JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2013
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,623
  Likes Received: 877
  Trophy Points: 280
  hivi jamani,kuna mtu aliekufa kwa kusingiziwa kachukuliwa msukule alishawahi kufufuka?na ni story tu
   
 12. damian marijani

  damian marijani JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2013
  Joined: Jan 31, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 60
  Mtu aliye hai chembehai zake na mifumo iliyopo mwilini ina uwezo wa kuwezesha damu na maji yaliyo mwilini kuwa mahali palipolengwa. Mara anapofariki, chembehai nazo zinakufa na kuanza process ya autolysis, hivyo kupoteza uwezo wa kuzuia majimaji ndani ya chembehai na mufumo inayohifadhi damu na maji mwilini. Hivyo damu na maji vianaanza kutiririka na kutokea kwenye matundu mbalimbali ya mwili. Harufu mbaya ya damu ni kwa sababu ya uoozo unaosababishwa na bacteria wanapoanza kushambulia mwili.
   
 13. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2013
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,872
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Wacha uoga!!
   
 14. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2013
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,423
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Kumbe Muoga Weye!
   
 15. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2013
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mimi nilidhani inakuwa ni ile high blood presure inayopelekea mishipa kukatika hovyo na ndio maana kunakuwa na bleeding kutoka sehem zenye mishipa miepesi!
   
 16. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2013
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  duh!ama kweli we mzizi makavu
   
 17. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2013
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,790
  Likes Received: 1,593
  Trophy Points: 280
  wewe si mwoga???
   
 18. BAOBAO

  BAOBAO JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2013
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 1,757
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Wakuu,namshukuru kila mtu kwa ushauri.Watu wamesema mengi msibani;kuwa chanzo cha kifo ni mambo ya kishirikina au uchawi;maana mgonjwa kabla kufariki alipandisha mashetani na kusema mengi wakati anafanyiwa maombi na walokole!
   
 19. BAOBAO

  BAOBAO JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2013
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 1,757
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Wakuu,uzi huu,naomba uendelee kwa faida zaidi; kwangu na watu wengine !:welcome:
   
 20. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2013
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,456
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  Kibongo bongo wanasema uchawi at work. Kule kwetu wanasisitiza zaidi kuwa katumiwa jini anaiywa LYANG'OMBE
   
Loading...