Msaada: Nini nifanye ili niweze kutatua tatizo la gari yangu aina ya Toyota Corolla Fielder

Hizo moving parts siyo kama zinazalisha nguvu. Ila kwa sababu zinazunguka tayari zinakuwa na energy ambayo ndio hutumika muda ambao nguvu haizalishwi.

Halafu usichukulie kwamba engine inakaa muda mrefu bila kuzalisha nguvu. Mfano engine ikiwa katika idle speed ya 650rpm maana yake kwa sekunde moja inafanya mizunguko 65.

Kwa Lugha rahisi engine ya piston nne, ndani ya sekunde moja mafuta yanachomwa mara 65.
Ni sekunde au mintues?
 
Back
Top Bottom