TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,673
- 1,571
Chama cha wananchi CUF siku ya juzi kilitoa msimamo wake wa kukataa kushiriki uchaguzi wa marudio hapo march 20. Pia tunafahamu kuwa Zanzibar kulikuwa na wagombea kumi na wanne wa kiti cha urais wa Zanzibar. Nataka kufahamu uhalali wa kisheria iwapo CUF hawatashiriki katika uchaguzi huo wa marudio.