Msaada; Nini kazi ya hili File la 'Android' kwenye simu, je nikifuta kuna madhara?

Wildlifer

JF-Expert Member
May 12, 2021
1,826
5,055
Nina safisha simu. Sasa kina folder nimeliona limeandikwa Android, lina almost 3 GB. Nimetaka nilifute; naombeni elimu yenu juu ya Folder hili na Je nikilifuta kuna shida yoyote?

Screenshot_20211125-192327.jpg
 
Nina safisha simu. Sasa kina folder nimeliona limeandikwa Android, lina almost 3 GB. Nimetaka nilifute; naombeni elimu yenu juu ya Folder hili na Je nikilifuta kuna shida yoyote? View attachment 2023442
Ukifuta litarudi tu sababu ndio linalo beba data za app katika simu, na kama ulidownload magemu yenye mb nyingi ukifuta hiyo hayo magemu hutoweza kuyacheza sababu ndani ya ilo file kuna file linaitwa Obb ndilo linalobeba magemu yenyewe, ukiacha zile APK kwenye home screen, so choice is yours
 
Nina safisha simu. Sasa kina folder nimeliona limeandikwa Android, lina almost 3 GB. Nimetaka nilifute; naombeni elimu yenu juu ya Folder hili na Je nikilifuta kuna shida yoyote? View attachment 2023442
Ndani ya Folder la android kuna folder nyengine kama data na OBB.

OBB kunakaa data za games, na data kunakaa data za application na games mbalimbali.

Hata whatsapp naona wanahifadhi mafile yao kwenye hilo folder la android. Vyema usifute
 
Ukifuta tu apps zinaanza ku crash na kale ka ujumbe ka "unfortunately has stopped" katakutesa kimtindo... Ni vema uliache sabu ndiyo linabeba data za apps zako zote kwenye simu yako si ufanye tu ku uninstall apps kubwa kubwa ambazo huna matumizi nazo kama unahitaji space. Pia jitahidi uwe una clear data & caches/junk files.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom