Ukifuta litarudi tu sababu ndio linalo beba data za app katika simu, na kama ulidownload magemu yenye mb nyingi ukifuta hiyo hayo magemu hutoweza kuyacheza sababu ndani ya ilo file kuna file linaitwa Obb ndilo linalobeba magemu yenyewe, ukiacha zile APK kwenye home screen, so choice is yoursNina safisha simu. Sasa kina folder nimeliona limeandikwa Android, lina almost 3 GB. Nimetaka nilifute; naombeni elimu yenu juu ya Folder hili na Je nikilifuta kuna shida yoyote? View attachment 2023442
Ndani ya Folder la android kuna folder nyengine kama data na OBB.Nina safisha simu. Sasa kina folder nimeliona limeandikwa Android, lina almost 3 GB. Nimetaka nilifute; naombeni elimu yenu juu ya Folder hili na Je nikilifuta kuna shida yoyote? View attachment 2023442
Watu mna roho mbaya sanaFuta tu mkuu
Hauwezi kulifuta hata kidogo system haitakupa option ya kufuta😅
Hahhahaha alifute aone kama hajaenda mobile plaza kulia liaSasa Mwamba kapewa hiyo option ya kulifuta kwenye simu yake, Anataka ajiripue mazima 😂.
Sasa Mwamba kapewa hiyo option ya kulifuta kwenye simu yake, Anataka ajiripue mazima .
Hilo folder la Android ukifuta linafutika ila baada ya muda linarudi hasa zile files zilizomo kwenye folder la data lakini files zilizomo kwenye Obb hazirudi, mimi nishafanya sana tu.Ukiweza kulifuta hilo folder, nakuchapa na shuka moja la kimasai
kwamba huoni n androidUtatumia OS gan mkuu ukifuta hiyo ?