Utakatishaji fedha(Money laundering): Dhana iliyojificha kwa wengi!

Na zile fedha haramu zinazopatikana kwa njia za ushirikina nazo ni UTAKATISHAJI? kama mtu kutembea na dada yake anakuwa tajiri wa kutupwa halafu anafanya biashara halali, imekaaje hiyo wakuu? Presidence : MAREHEMU BILIONEA MSUYA WA A TOWN tajiri wa tanzanite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndyo naisikia kwa mara ya kwanza,kweli utajiri una siri kubwa sana nyuma yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, ni "laundering" na siyo "loundering". Maelezo yote mengine ni sawa sawiya. Laundering inatokana na laundry, ikiimaanisha kufua nguo. Hapa kwenye fedha ni kusafisha fedha haramu igeuke halali!
 
Kwa uelewa wangu mimi ni kwamba,hela ambazo hukuzipata kiuhalali unazifanyia kazi ya uhalali.

Mfano: ulitapeli watu pesa baada ya kufanikiwa unajengea hospital zile pesa then unatoa huduma za afya kwa wananchi.
 
Anayeelewa maana ya utakatishaji wa fedha naomba mnieleweshe wakuu natanguliza shukurani
Utakatishaji fedha ni mchakato mzima wa kupata fedha zisizo halali na kuzitengenezea uhalali (kuzitakatisha).

Mathalani.

Mtu anayefanya biashara haramu ya mihadarati, anaweza kufungua mgahawa wa biashara halali, akiwa na nia ya kuziingiza fedha zake anazopata kwenye biashara haramu ya mihadarati kwenye biashara yake halali ya mgahawa. Ili, hata akienda benki kwa mfano, kuweka hela benki, akiulizwa chanzo cha fedha, aweze kusema chanzo ni mgahawa wake halali, wakati kiuhalisi, chanzo ni biashara yake haramu ya mihadarati.

Katika mfano huu, tunaweza kusema kwamba ametumia biashara halali ya mgahawa kutakatisha fedha zake za biashara haramu ya mihadarati.
 
Nimeikopi kule kwa bilionea wa Mahindi kule mkako mbinga
tapatalk_1605341391573.gif
 
Lakini nafikiri bila ya kujua muhusika kafanya uharamu gani kupata hizo pesa basi huwezi kumshitaki kwa uhalifu wa kutakatisha pesa
Kesi hizi kwa sasa zinatumika kisiasa, kwa sababu hazina dhamana.

Kwa hiyo mtu (serikali I should say) wakitaka kukupoteza wanakufungulia kesi ya kutakatisha fedha, au wanakutishia hilo.

Ni jambo baya sana. Kwa sababu wananchi wanashindwa kujua nani ni muhalifu, na nani kafunguliwa jesi kisiasa tu.
 
Nimekusoma Mkuu,tuko katika nchi zilizo chini ya Jangwa la Sahara

Sub Saharan Africa,sub human being..

Trump alitubatiza shit hole Countries..
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Utakatishaji fedha ni mchakato mzima wa kupata fedha zisizo halali na kuzitengenezea uhalali (kuzitakatisha).

Mathalani.

Mtu anayefanya biashara haramu ya mihadarati, anaweza kufungua mgahawa wa biashara halali, akiwa na nia ya kuziingiza fedha zake anazopata kwenye biashara haramu ya mihadarati kwenye biashara yake halali ya mgahawa. Ili, hata akienda benki kwa mfano, kuweka hela benki, akiulizwa chanzo cha fedha, aweze kusema chanzo ni mgahawa wake halali, wakati kiuhalisi, chanzo ni biashara yake haramu ya mihadarati.

Katika mfano huu, tunaweza kusema kwamba ametumia biashara halali ya mgahawa kutakatisha fedha zake za biashara haramu ya mihadarati.
Asante sana mkuu kwa elimu hii nimekupata vizuri sana
 
Kwa uelewa wangu mdogo:-

Unanunua nyumba/gari/kiwanja kwa pesa ya madawa ya kulevia/ufisadi/ujambazi/haramu nk, halafu unaiuza hiyo nyumba pesa inayopatikana unapeleka bank au kwenye mfumo rasmi.

Simple kuitoa pesa kwenye chanzo haramu kuipeleka kwenye chanzo rasmi.
Shukran
 
kupata pesa chafu za magendo, alafu kuzitumia kihalali. turn unclean money to be clean money.
 
Ni namna ya Kutumia Fedha zilizopatikana kwa njia haramu Kama Rushwa, Madawa ya kulevya zionekane Safi/ halali

Endapo umepata pesa kwa njia ya Rushwa let say 400million kisha ukajenga Nyumba ni umetakatisha Sh 400m hiyo Nyumba ni halali unaweza kuombea mkopo bank ikaonekana imepatikana kwa hussle zako you hide the true source of the money katika Sheria ya Tanzania ya Economic and Organized Crime Act na Sheria Ndogo ya AntMoney Laundering ni Kosa kubwa sanaa na halina Dhamana
 
Back
Top Bottom