Msaada nini hasa maana ya maneno utakatishaji fedha

gspain

gspain

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
562
Likes
456
Points
80
gspain

gspain

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
562 456 80
Nimekuwa nikisikia jambo hili ika kiukweli sijaelewa ,karibuni kuchangia
Ninavyoelewa mimi ni kitendo cha kuingiza kwenye mzunguko fedha ambayo haikupatikana kihalali. Mfano pesa ambayo mtu ameipata kwa kuuza dawa za kulevya(ambayo ni kinyume na sheria) anaitengenezea mazingira fulani kama vile biashara au shughuli nyingine ambayo itaonekana km ile pesa imepatikana kwa namna hiyo ambayo ni halali. Wajuvi wataeleza vizuri zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baby Doll

Baby Doll

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Messages
3,392
Likes
16,686
Points
280
Baby Doll

Baby Doll

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2017
3,392 16,686 280
Kwa kiswahili ndiyo hivyo kwa kingereza ni Money loundering.
Ni kitendo cha kufanya pesa haramu ( zilizopatikana kwa njia isiyo sahihi kuiweka kuwa sahihi).
Mfano unauza madawa ya kulevya , silaha pesa unazozipata ni haramu. Lakini unazisafisha kwa kupitia miradi vivuli au unazigawanya kwenye account za banks nk.
Nimejaribu in nutshell ila kama haujaelewa niambie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
4,612
Likes
3,799
Points
280
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
4,612 3,799 280
Kwa kiswahili ndiyo hivyo kwa kingereza ni Money loundering act.
Ni kitendo cha kufanya pesa haramu ( zilizopatikana kwa njia isiyo sahihi kuiweka kuwa sahihi).
Mfano unauza madawa ya kulevya , silaha pesa unazozipata ni haramu. Lakini unazisafisha kwa kupitia miradi vivuli au unazigawanya kwenye account za banks nk.
Nimejaribu in nutshell ila kama haujaelewa niambie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Money Loundering Act tenaaa. Hajaulizia sheria ya utakatishaji fedha. Ameulizia utakatishaji fedha tuuu
 
Isengelo

Isengelo

Senior Member
Joined
Oct 25, 2017
Messages
194
Likes
161
Points
60
Isengelo

Isengelo

Senior Member
Joined Oct 25, 2017
194 161 60
Na zile fedha haramu zinazopatikana kwa njia za ushirikina nazo ni UTAKATISHAJI? kama mtu kutembea na dada yake anakuwa tajiri wa kutupwa halafu anafanya biashara halali, imekaaje hiyo wakuu? Presidence : MAREHEMU BILIONEA MSUYA WA A TOWN tajiri wa tanzanite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
monde arabe

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
3,623
Likes
4,465
Points
280
monde arabe

monde arabe

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
3,623 4,465 280
Na zile fedha haramu zinazopatikana kwa njia za ushirikina nazo ni UTAKATISHAJI? kama mtu kutembea na dada yake anakuwa tajiri wa kutupwa halafu anafanya biashara halali, imekaaje hiyo wakuu? Presidence : MAREHEMU BILIONEA MSUYA WA A TOWN tajiri wa tanzanite

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndyo naisikia kwa mara ya kwanza,kweli utajiri una siri kubwa sana nyuma yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S

Shaka-Zulu

Senior Member
Joined
Nov 20, 2018
Messages
153
Likes
220
Points
60
S

Shaka-Zulu

Senior Member
Joined Nov 20, 2018
153 220 60
Wakuu, ni "laundering" na siyo "loundering". Maelezo yote mengine ni sawa sawiya. Laundering inatokana na laundry, ikiimaanisha kufua nguo. Hapa kwenye fedha ni kusafisha fedha haramu igeuke halali!
 
Forum statistics

Threads 1,250,078
Members 481,222
Posts 29,720,091