Msaada: Ninasumbuliwa na abdominal pain upande wa kulia, chanzo ni kudondoka kutoka juu ya mti

Mnyamalyx

Member
Oct 31, 2015
88
25
Msaada wana jamii,Ninasumbuliwa na abdomenal pain,upande Wa kulia chanzo nilidondoka juu ya mti,nmetumia xana dawa za kunywa na kuchua but no good result.Nikaamua kupuga ultrasound na x ray pia tatizo halikugundulika,Naombeni ushauri naumia sana.
 
Mmmh nenda kwa wataalamu zaidi labda kuna tatizo ambalo linahitaji uchunguzi zaidi.

Hizi X.Ray ambazo had nyingine zina panya ndani si za kuziamini sana.

Pole mkuu
 
Kama unajua source ya maumivu ni ajali, tafadhali kapate picha ya MRI scan.

Magnetic resonance imaging (MRI) is a type of scan that uses strong magnetic fields and radio waves to produce detailed images of the inside of the body.
 
Back
Top Bottom