Msaada: Ninashindwa kutazama videos kwa kutumia App ya Jamiiforums

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
7,149
15,600
Nashindwa kuziona videos ktk app ya JamiiForums.
47f92c2e546ea6eae3afd66526fb8436.jpg
nikiiplay inakaa muda kidogo kisha yaniletea ujumbe huu
d087962b471055eaa3e2c2a22a79aec5.jpg

Naomba msaada kwa wanaojua,mwanzo ilikuwa vizuri sasa sielewei ninini kilichokorofisha!
 
Pakua app ya "tapatalk " playstore, kisha search JF then Log in. Hii ipo vizuri zaidi kwa upande wangu, im using it and it works
 
Back
Top Bottom