Msaada: Ninaomba mkopo na Cheti cha mzazi wangu hakijawa "authorized" na RITA

Habari,

Katika kupitia form ya maombi ya mkopo wa elimu ya juu, kuna kipengele cha kujaza jina la mzazi na kama huna unaambiwa u-present evidence yaan cheti.

Now mimi baba yangu alifariki 2015, huko Makka, saudia ktk lile janga, meaning that, cheti cha kifo kilichotolewa ni cha huko then kikawa translated in swahili (Nita-attach picha hapo chini) by Bakwata na kikawa pamoja na muhuri.

Sasa sijui process zitakuwaje sasa sijui process zitakuwaje katika ku-attach cheti cha kifo, coz hiki hakijawa authorized na RITA. Plz anyone who understands how I can be helped I welcome opinions

View attachment 1815357View attachment 1815358

RITA ndiyo jibu, hapa huwezi kupata hata wachangiaji sita!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom