Msaada nina ugonjwa wa ngozi kichwani nitumie dawa gani?

yoram26

Member
Apr 12, 2017
13
17
Ndugu wanajukwaa naombeni msaada jinsi ya kupona hizo kitu ni chronic zaidi ya mwaka sasa nawasilisha.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20170710-WA0008.jpg
    IMG-20170710-WA0008.jpg
    74.3 KB · Views: 65
Pole sana kijana,njia mojawapo nzuri ni kunyoa kipara cha wembe kama kuruti wa jeshi.

Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom