Msaada: Nina udomo zege usiopimika

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜·πŸ˜·πŸ˜·

Nikajua domo zege ni mimi peke yangu tu kumbe yapo mengi tu..!
BAK hiyo mi reply yote unasubiri nini kwenda piemu..??πŸ˜…

Uzi wangu mwenyewe lkn naona wake zangu ndo wanabebwa hivyo😎
Najuta kuanzisha hili liuzi vitu vyengine ni upimbi tu..πŸ˜…
 
Oh! Unaanza kulia WIVU sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu wacha nikuachie tu ila kwenye Vita ya kumpata huyo nikiingia utaishia kumuona humu jf tu hata lile pindo lake la yesu ndie mwamba hautaliona..πŸ˜…

Nikianza kuharibu mambo hapa utaomba mods waifute id yangu!..πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbeee udomo zege wako hadi kwa huyu? 🀣🀣🀣🀣

Mkuu wacha nikuachie tu ila kwenye Vita ya kumpata huyo nikiingia utaishia kumuona humu jf tu hata lile pindo lake la yesu ndie mwamba hautaliona..πŸ˜…

Nikianza kuharibu mambo hapa utaomba mods waifute id yangu!..πŸ˜‚
 
Mkuu wacha nikuachie tu ila kwenye Vita ya kumpata huyo nikiingia utaishia kumuona humu jf tu hata lile pindo lake la yesu ndie mwamba hautaliona..

Nikianza kuharibu mambo hapa utaomba mods waifute id yangu!..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa unataka niseme nini Saint Anne? Si umamuona domo zege KENZY kishaanza kuleta wivu wake oh! niambie kama the deal is done, usiponiambia wewe yeye ataniambia 🀣🀣🀣🀣🀣

BAK naona unapita kimyakimya
 
Kuna binti hapa sio tu kaumbika no kakamilika idara zote kiasi kwamba hata nzi akimtulia kwenye mwili wake mi napata wivu

Tatizo sio kuumbika kwake,hivyo ni vivutio vya kitalii ambavyo nataka nikavifaidi ili kuitendea haki kazi ya bwana..
Tatizo ni udomo zege umenishika dhidi yake!

Nateseka juu yake,kula nakula lakini sishibi kwa sababu yake! Hata kunywa maji nakunywa lakini kiu hakiishi juu yake!.

Nikimsogelea maneno yananikimbia nabaki najiuma uma na kujikuna tu!.. na vile kabarikiwa tabasam ndo kabisa nikiliona mpaka mapigo yangu ya moyo yanachachamaa! Ni kama vile yananihukumu yananiambia "Leo Sasa!"

Msaada ndugu zanguni nifanyaje huu udomo zege niushinde?
Usisahau kuweka kokoto za kutosha zege iwe imara mkuu
 
Back
Top Bottom