Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,560
Imefika wakati sasa ngoja niliweke wazi maana nimekaa nalo tangia utotoni, sijajua kama nina tatizo binafsi hama nini lakini mara nyingi inatokea nawachukia wazee kupita maelezo, yaani nilijaribu sana kujizuia lakini naona kama inashindikana
Yaani inanitokea kila nikipishana na mzee( hasa wale ambao umri umeenda sana ) sipendi kabisa naweza nisipite tena hiyo njia, kwenye daladala nikikuta siti kakaa mzee basi natafuta siti nyingine ile siwezi kukaa nasio kama napenda hapana bali ni hali tu inayonijia, ninaposikia akiongea basi sitaki hata kusikiliza maneno yao na wanavyotamka kizee nakuwa nakereka.
Sijajua ni tatizo lipo kwangu tu au hata kwa wengine, imefika kipindi kuna ndugu yangu mmoja kwake sipendelei kwenda kwa sababu kuna mzee yaani nilikuwaga nikienda kipindi cha nyuma naonaga huyo mzee anavyokuwa anawasumbua yaani alikuwa mkorofi kweli hadi nikawa namkwepa kwepa yaani alikuwa na vitabiatabia tu fulani hivi hadi nikawauliza wausika wananambia ndo alivyo tushamzoea, lakini cha ajabu mie sikuwahi kumzoea.
Hebu mwenye ushauri jinsi gani naweza kufanya niweze hata kubadilisha mtazamo kidogo sio kwamba napenda hiyo hali bali inanijiaga tu