Msaada: Nina tatizo la kuumwa tumbo na korodani

babadullah

JF-Expert Member
Feb 21, 2017
508
319
Nina siku ya nne sasa kila ikifka jion tumbo linauma,na korodani zinauma sana,anayejua tatizo ni nini anambie na ni nini dawa, nimeenda hospital wamenipa painkiller tatizo hawajatatua
 
Nenda kulea la jf doctors huko kuna wataalam watakusaidia!pole

OvA
 
Ni vema ukaenda hospitali kubwa zaidi ya hiyo uliyokwenda
Siamini kila tatizo linaweza kutatuliwa hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom