MSAADA: Nina tatizo la kuumwa tumbo muda wote iwe nimekula au sijala

Biopsy mara mbil ndugu imechukuliwa,,,,niko dar ndugu na tuliishia nkafanye ct-scan sema gharama ndio najichanga,,,hospital ni kubwa tu hapa mjin ila sidhan kama itifaki itaruhusu kuitaja,,,bado napambana ndio maana nikafikia kushare humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Active PUD boss.. sasa mkuu uwe na nidham ya vyakula na kupunguza stress,

Acha.. pilipili, matunda mabichi yenye asili ya ukakasi + uchachu, pombe, sigara, mavyakula ya viwandani piga chini, jumlisha vyakula vyote vyenye asili ya uchachu.

Zingatia.. kunywa maji kwa wingi sana na maziwa.

Then tumia dawa ambazo ni ant acid, plus ppi+ antibiotics .. zinapatikana hospitali au maduka ya madawa pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mziki ni vidonda ndugu yangu nilipitia sekeseke kama hilo acha kabisa lakini huwezi amini nimepona kabisa njoo pm nikuelekeze bure kabisa unapona.
 
Back
Top Bottom