Msaada: Nina tatizo la kutokwa mafuta sehemu ya uke

Alichokieleza ni sawa kabisa zipo tiba za hospitalini na mitishamba. Ukihitaji mitishamba tuwasiliane

0687439333
 
Habari za humu ndani,

Naomba ushauri huu ugonjwa siuelewi yaani wakati wa haja ndogo kutoka huchanganyika na mafuta yenye rangi ya mawese na yakidondoka kwenye sink la choo huganda haraka sana nikigusa naona ni mafuta kabisa tena yanaharufu mbaya.

Anayejua anisaidiee plz.
Mambo kama haya nenda kwanza hospitali ikishindikana ndo ufikirie kuomba ushauri kwa watu baki. Watakuja wajuaji kama mia hivi na kila mmoja na ushauri wake sijui utafata lipi uache lipi.
 
TATIZO LAKO LINAITWA Candidiasis unaweza kutumia Herbs Elderflower (Sambucus nigra), calendula (Calendula officinalis), thyme (Thymus vulgaris,) Remedy Make an infusion with 8 g of each herb to 3 cups (750 ml) water and drink 11/4–12/3 cups (300–450 ml) each day. Kama huwezi kufanya yote waweza nitafuta kwa no 0687439333 nitakupatia dawa pamoja na ushauri juu ya Afya yako. Pia nitakupa siri ya ugonjwa huu ili usikurudie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom