Msaada: Nina tatizo la kupata mafua mara kwa mara

Alaf kuna dawa zinaitwa CETIRIZINE kanunue pharmacy sio ghali, zitakusaidia sana hilo tatizo, mm nilikua na hali kama yako ila afadhali kidogo, na hali haisababishwi na vumbi kama watu wanavyofkiria, hio itakua kuna kitu unakula kinakusababishia hali hio so inakua ngumu kupona, MUHIMU ACHANA NA VYAKULA VYA MAFUTA, NYAMA, KARANGA NK
 
Mi pia natatizo hilo miaka nenda miaka rudi,sijawahi jua tatizo ni nini
ila huwa ni vumbi kuna kipiti nilienda hosp wakasema jiepushe sana na vumbi maana waliangalia FBP ndo wakanieleza na pia nguo sa manyoya achana nazo na harufu kali kama body spray pia kunywa maji sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom