Msaada; Nina tatizo la kuona na kusikia vyote kwa pamoja

Daaah .

Daaah Mimi napepesuka tuuh ata nisipo fumba macho yani nikiwa natembea tuuh kawaida nakoswa balance.
Sasa Kuna jamaa mmoja ananitisha Apa ananiambia labda uvimbe kwenye ubongo duuuh
Hapana,hilo ni tatizo la canals za masikioni
Moja ina pressure zaidi ya lingine
Nenda hospitalini utapona
 
Nenda International Eyes Centre, iko Morocco karibu kabisa na Hallotel HQ, kama huna bima kumwona dr ni 60,000 na iko valid kwa siku 14 kama utatakiwa kurudi rudi kwa uchunguzi zaidi. Bei ya dawa zao pia imechangamka lakini waweza zitafuta popote kama hutaridhika.

Point hapa ni kupata proper consultation kwa watu waliobobea, kama tatizo si macho utaambiwa ili nguvu uweke sehemu husika
 
Huuu ushauri ungempa tangu mwaka jana mwezi wa pili nadhani sasa hivi angekuwa ashapona
 
Nenda International Eyes Centre, iko Morocco karibu kabisa na Hallotel HQ, kama huna bima kumwona dr ni 60,000 na iko valid kwa siku 14 kama utatakiwa kurudi rudi kwa uchunguzi zaidi. Bei ya dawa zao pia imechangamka lakini waweza zitafuta popote kama hutaridhika.

Point hapa ni kupata proper consultation kwa watu waliobobea, kama tatizo si macho utaambiwa ili nguvu uweke sehemu husika
Hawa wanatumia bima ya NHIF?
 
Wanachukua damu wanaona kila kitu
kama hujazaliwa kiziwi na sasa una shida ya kusikia mara nyingi huwa hormane imbalances tu
Issue inakuwa ngumu kama ulizaliwa kiziwi
Dah mkuu maelezo yako yanatia matumaini sana japokuwa wengine tumeshaanza kuzizoea hali hizi.
 
Nenda International Eyes Centre, iko Morocco karibu kabisa na Hallotel HQ, kama huna bima kumwona dr ni 60,000 na iko valid kwa siku 14 kama utatakiwa kurudi rudi kwa uchunguzi zaidi. Bei ya dawa zao pia imechangamka lakini waweza zitafuta popote kama hutaridhika.

Point hapa ni kupata proper consultation kwa watu waliobobea, kama tatizo si macho utaambiwa ili nguvu uweke sehemu husika
Mi nimeshaenda hapo International eye hodpital ni kweli jamaa wana vifaa vya kisasa na huduma nzuri sana but nashindwa kuelewa sie wengine haya matatizo km hayaeleweki sijui.

Mi nilivyoenda sikumbuki hata niliambiwa nina tatizo gani ila n as kumbuka dr alisema something like Neuoropathy na kuniandikia Trivarol nikamwambia before that naomba nifanyiwe MRI examination basi akaniandikia niende BESTA pale kinondoni makaburini nikaenda

Nikafanyiwa MRIya ORBIT & BRAIN Maajabu ni kuwa Majibu na report yake vyote vikaonyesha kuwa kila kitu kiko sawa na kwenye sehemu yake sasa kurudi kwa yule mzungu kakazana tu katumie Trivarol urudi baada ya mwezi ,Sijarudi mpaka kesho.
 
Hawa wanatumia bima ya NHIF?
Wanatumia ndio mkuu,km unayo we nenda tu utahudumiwa kama mfalme wako vizuri hamna yale mambo sijui fumba jicho la kulia usome pale.

Pale kila kitu kidigitali unaambiwa weka macho kwenye hii mashine anaset kacha kacha herufi inahamia jicho moja mpaka jingine.
 
Nilipewa rufaa mwaka 2010 kuja kupiga CT SCAN toka mtwara kuja Muhimbili.

Muhmbili wakakataa wakasema bado mdgo kupiga hko kipimo
Mi nilifanyiwa MRI ya kichwa mwaka jana aiseeeeeh ilibaki kidogo nizimie ndani ya lile limashine dah.

Nilikuwa nimevaa mkanda una chuma ss mlangoni kuna tangazo utoe vutu vyote vyenye asili ya chuma basi wakati nataka kupanda kitandani nikamuuliza dokta vp naweza toa huu mkanda???akajibu aaah achana nao nikaingia kwdnye mashine,

Doooooh!!!Ile kuliwasha tu nikasikia mkanda unavutwa kwa nguvu za ajabu na masumaku ya lile limashine halafu na mm niliambiwa nifumbe macho aisee nilihisi kifo ikabidi nifumbue macho ama la siku ile ningezima.
 
Ndio ndio mkuu mimi kabisa aisee....hata nikijifuta jasho ile kupitisha kitambaa usoni ni shida.

Miguu kama unailazmisha halafu haina nguvu kabisa.
Kwa ww km shida ni nguvu tu mkuu nakushauri tumia Neuro support kwa muda wa miezi 3 mfululizo aisee utarejesha nguvu ya mwili mm ilifika kipindi nilikuwa sina nguvu kabisa but nilitumia kwa muda km huo kiukweli niliona mabadiliko makubwa sana.Dozi ya mwezi ni vidonge 30 ambayo ni 15,000
 
Nimerudi wakuj,
Vp nawe una uono hafifu na usikivu mdogo mkuu km mm?

Dah mi hadi nilishaizoe hali hii yaani mtu akinipigia simu namwambia nipo kwenye kelele tuma msg au km vp nitafute usiku pakiwa pametulia.
Maana nilikuwa najipa stress ss nimeshazoea na ninaongea na watu wanaonielewa hali yangu wale wenzangu na mm wanaokereka ukiwa unaitikaitika kutokana na kutomsikia vizuri na wkt umeshamwambia una tatizo flani huwa sipendi hata kuwa nao karibu.

Maisha lazima yaendelee as long bado tunapumua.
Hatutofautiani
 
Ni vidonge vya vitamins tu so havina madhara.

Pia penda kula vyakula vyenye rangi ya njano km vile maboga,viazi lishe,karoti,machungwa,na mabogamboga a aina mbalimbali.

Epuka mihogo na kisamvu
 
Kwa ww km shida ni nguvu tu mkuu nakushauri tumia Neuro support kwa muda wa miezi 3 mfululizo aisee utarejesha nguvu ya mwili mm ilifika kipindi nilikuwa sina nguvu kabisa but nilitumia kwa muda km huo kiukweli niliona mabadiliko makubwa sana.Dozi ya mwezi ni vidonge 30 ambayo ni 15,000
Mi shida yangu Ni kupepesuka , sikio pamoja na kuishiwa nguvu pia miguuni. Vipi hivi vidonge doz yake unatumiaje
 
Aaaaaahsante sana mkuu asaaaante aisee hii hali inadhalilisha wakati mwingine
Kwa ww km shida ni nguvu tu mkuu nakushauri tumia Neuro support kwa muda wa miezi 3 mfululizo aisee utarejesha nguvu ya mwili mm ilifika kipindi nilikuwa sina nguvu kabisa but nilitumia kwa muda km huo kiukweli niliona mabadiliko makubwa sana.Dozi ya mwezi ni vidonge 30 ambayo ni 15,000
 
Dah mkuu maelezo yako yanatia matumaini sana japokuwa wengine tumeshaanza kuzizoea hali hizi.
Mkuu kama hukuwa kiziwi wkt unazaliwa huwezi ukawa kiziwi ukiwa mkubwa
Ni excess pressure ktk canals,muone dr bingwa
Mdogo wangu alipona completely baada ya kuchukuliwa damu
 
Back
Top Bottom