double R
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 2,398
- 2,538
Relax kwanza.
Kama kweli ni uzito wako ni huo, fanya hivi:
1. Pima tena ndani ya siku tofauti ukiwa na utulivu. Ikiwa bado juu, ikubali.
2. Pima vipimo vingine vya figo, cholesterol na ini. Ikiwezekana fanya ultrasound.
3. Kama uko mzima, nuia na utekeleze kwa uaminifu mabadiliko ya lishe na mazoezi.
Anza polepole, kupunguza kiasi cha chakula kidogo kidogo kadri mwili unavyoweza kuhimili.
Anza mazoezi hata kutembea umbali mfupi na kila wiki uongeze kasi na muda wa mazoezi.