Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

Relax kwanza.

Kama kweli ni uzito wako ni huo, fanya hivi:

1. Pima tena ndani ya siku tofauti ukiwa na utulivu. Ikiwa bado juu, ikubali.
2. Pima vipimo vingine vya figo, cholesterol na ini. Ikiwezekana fanya ultrasound.
3. Kama uko mzima, nuia na utekeleze kwa uaminifu mabadiliko ya lishe na mazoezi.
Anza polepole, kupunguza kiasi cha chakula kidogo kidogo kadri mwili unavyoweza kuhimili.

Anza mazoezi hata kutembea umbali mfupi na kila wiki uongeze kasi na muda wa mazoezi.
 
Wakuu habari zenu

Kama nimevoandika hapo juu nimepima presha Leo na presha yangu ni kama hiyo nlioandika Ila sikuwahi kuwa na presha. Sasa wakuu ushauri wenu nianze dawa au nianze lishe ya kuacha wanga na sukari?
Pole mkuu!
Nikupe hongera kwa kupata alert kuwa kuna tatizo na u need to work hard kuliepusha. Wengi wetu tunayo hayo matatizo lkn huja kugundulika late wakati hali ishakuwa mbaya sana... mfano ni pale mtu anapopigwa stroke.

Mimi kuna wakati nilikuwa na kg kama 89 hivi kwa height yangu nilikuwa overweight lkn sikujua kbs hilo suala... ilikuwa kawaida sana kuumwa kichwa na kuchoka sana hata kwa kutembea kidogo tu....

Siku moja kichwa kiliniuma sana kila nikipiga panadol wapi, maji litre na litres wapi....

Nikaenedha gari hadi Hosp ya GEMSA kwa watu wa Arusha wanaifahamu. Kufika hapo nikafuata taratibu na kufika pale kwa nurse kwa ajili ya vipimo vya awali yaani pressure na weight na height.

Baada ya kuoima pressure niliona nurse kama amwshtuka kidogo ingawa alijitahidi kujizuia... mara akaseme subira nakuja, akaingia chumba cha daktari, dakka kama 7 hv nikaona kile kiuzio cha kijani kinasogezwa pale kwangu na maktari wakaja kama 5 hivi.... nikashtuka...

Wakaanza kunipima baadae wakanipa dawa fulani nikaweka kwenye ulimi zikawa zinayeyuka kidogo baadae wakanioima tena pressure ikawa imeshuka 140/96 kama sikosei. Hapo wakanambia ndo imeshuka.

Baada ya hapo nikabaki na madaktari wawili tukahamia consultation room

Daktari akanihoji style yangu ya maisha akanieleza kuwa nipo katika risk kubwa na nisipochukia hatua hali haitakuwa shwari. Akanishauri kuounguza wanga, sukari na fried +junk food. Na kwamba nikizembea hilo nitaanza dawa tena ikiwa sitopata mqdhara makubwa zaidi.

Nilirudi nyumbani mnyonge sana
From that day nilianza jogging naenda 1.5Km, it was 2017 nipunguza kabisa wanga, sukari, soda mitungi ikawa No etc... maisha yangu yalikuwa ni mazoezi kama 6 months nikaanza kupungua sana, mwaka hv nikawa nimekata 15kg....kukimbia nKo nikagain nikawa naenda 10km-21.1kms nikaanza kushiriki marathons na nikawa addicted na ruuning. Gym ni kidogo sana kuhudhuria.

Niseme ukweli hali ile imenisaidia sana sasa kila mtu anatamani kuwa kama nilivyo nipo slim, No wese mwilini na katika kipindi hicho sijawahi tumia dawa yyt ya pressure zaidi ya mazoezi.

Kwa sasa nishakuwa nguli i run 200km kwa mwezi last year nilijiwekwa target y kukimbia 2000km na nilifanikiwa. Nipo kwenye ckub mbalimbali za runners, na member wa gym kadhaa hapa mjini.

Nikutie moyo ndugu yangu una nafasi ya kubadili life style yako kbl hujakutwa na makubwa.... i have a friend alipigwa stroke ofcn akaka bench 2 yrs ashukuriwe Mungu amekaa vzr sasa.

I have friend pia alipigwa stroke hadi sasa ahajaka sawa ni kama 4 year.

Nilichoamua from 2019 ni kuwahamasisha marafiki zangu na ndugu zangu juu ya kufanya mazoezi, namshukuru Mungu wengi wanaitikia vzr and they are doing good.

Download application inaitwa strava itakusaidia kukupa motivation na uta-grow vzr kwenye mazoezi hasa walking na running.

Kama unaweza kuruka kamba ni nzr sana pia it will help.

Gym sikushauri wengi wanaenda kwa show off tu hakuna kitu wanafanya cha kuwasaidia.

Apart from afya mwonekano wako unakuwa super sana. Unene haujawahi kumpendeza mtu nadhani ni kwa sababu ya madhara yake.

Karibu sana ukihitaji ushauri.

Ngoja nilale kesho chap 05:00Am niamke nipige 10kms kwa pace ya 5:00
 
Vp mazoezi kwahii presha nikiyaanza Itakua shida? Je presha itapanda Zaid pindi nikiwa nafanya mazoezi?
Anza hata kwa kutembea 39min utoke jasho itakusaidia baadae utanza kukimbia hata kwa pace ya 9... kidogo kidogo uta gain kikubwa hapo ni kupunguza weight.
 
Mkuu ndo nataka nianze
Kabla hujaanza mazoezi na kujinyima kura
Ni vema ukajua uwiano wa urefu wako na uzito ulonao
Usianze kujinyima kura ukaongeza hizo h pylori 7Unazidi kujiweka na hatari ya kuumwaumwa magonjwa mbalimbali

Kwa mujibu wa maelezo yako huna presha wala tatizo lolote la moyo
Kinachokusumbua ni hao bacteria wa h pylori
Ukizingatia umefunga ndio umeongeza kasi ya usumbufu wa hao wadudu

Chakufanya Mariza mfungo anza kupiga misosi mwili utarecover zaidi JUISI ya parachichi ni tiba nzuri ya hao wadudu
Amini nakwambia mkuu wangu
Siku ya EIDD nakualika home njoo tupige ubwabwa uanze kurecover mwili
 
Wakuu habari zenu

Kama nimevoandika hapo juu nimepima presha Leo na presha yangu ni kama hiyo nlioandika Ila sikuwahi kuwa na presha. Sasa wakuu ushauri wenu nianze dawa au nianze lishe ya kuacha wanga na sukari?
Mkuu unayo presha Kubwa ya kupanda ni hatari. Je Una kilo ngapi mwilini mwako?

Kawaida Presha ni 120/80 Sasa wewe hiyo presha yako ni kubwa sana jaribu kunywa maji ya Uvuguvugu kwa wingi,fanya mazoezi,acha kula vyakula vyenye chumvi nyingi acha kula vyakula vyenye mafuta, usinywe kabisa kahawa, Kula punje 2 za Kitunguu Saumu kila siku asubuhi kabla ya kula kitu na mchana kula tena punje 2 na usiku pia kula tena . Ukitaka dawa ya kukuponyesha kabisa maradhi yako nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.

MAPIGO YA MOYO  120-80.png
 
Kabla hujaanza mazoezi na kujinyima kura
Ni vema ukajua uwiano wa urefu wako na uzito ulonao
Usianze kujinyima kura ukaongeza hizo h pylori 7Unazidi kujiweka na hatari ya kuumwaumwa magonjwa mbalimbali

Kwa mujibu wa maelezo yako huna presha wala tatizo lolote la moyo
Kinachokusumbua ni hao bacteria wa h pylori
Ukizingatia umefunga ndio umeongeza kasi ya usumbufu wa hao wadudu

Chakufanya Mariza mfungo anza kupiga misosi mwili utarecover zaidi JUISI ya parachichi ni tiba nzuri ya hao wadudu
Amini nakwambia mkuu wangu
Siku ya EIDD nakualika home njoo tupige ubwabwa uanze kurecover mwili
Kwaiyo mkuu unataka kunambia pylori wanasababisha presha ya mtu kuongezeka akiwa kafunga
 
Mkuu unayo presha Kubwa ya kupanda ni hatari. Je Una kilo ngapi mwilini mwako?

Kawaida Presha ni 120/80 Sasa wewe hiyo presha yako ni kubwa sana jaribu kunywa maji ya Uvuguvugu kwa wingi,fanya mazoezi,acha kula vyakula vyenye chumvi nyingi acha kula vyakula vyenye mafuta, usinywe kabisa kahawa, Kula punje 2 za Kitunguu Saumu kila siku asubuhi kabla ya kula kitu na mchana kula tena punje 2 na usiku pia kula tena . Ukitaka dawa ya kukuponyesha kabisa maradhi yako nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.

View attachment 1781567
Nna kilo75 na height yangu ni 164cm..pia nna vidonda vya tumbo so ramadhani yote nimefunga nkiwa navidonda vya tumbo
 
Anza hata kwa kutembea 39min utoke jasho itakusaidia baadae utanza kukimbia hata kwa pace ya 9... kidogo kidogo uta gain kikubwa hapo ni kupunguza weight.
Mkuu pia nna vidonda vya tumbo na ramadhani yote nimefunga nikiwa navidonda vya tumbo je vidonda vya tumbo vinaweza sababisha presha kuongezeka
 
Relax kwanza.

Kama kweli ni uzito wako ni huo, fanya hivi:

1. Pima tena ndani ya siku tofauti ukiwa na utulivu. Ikiwa bado juu, ikubali.
2. Pima vipimo vingine vya figo, cholesterol na ini. Ikiwezekana fanya ultrasound.
3. Kama uko mzima, nuia na utekeleze kwa uaminifu mabadiliko ya lishe na mazoezi.
Anza polepole, kupunguza kiasi cha chakula kidogo kidogo kadri mwili unavyoweza kuhimili.

Anza mazoezi hata kutembea umbali mfupi na kila wiki uongeze kasi na muda wa mazoezi.
Kabla ya kuanza mfungo wa ramadhani presha yangu ilikua normal pia nna vidonda vya tumbo je mtu akifunga nahali anavidonda vya tumbo je presha yake inaweza ongezeka
 
Hapana ,mazoez ni mazuri ,husaidia kushusha presha..mazoez kama kukimbia, kutembea, kuruka kamba ,husaidia kushusha presha .

Kimbia angalau dakika 20 kwa siku nne ndan ya wiki.

Ila kama unafanya mazoez na ukaanza hisi maumivu ya kifua, kukosa pumzi, kizunguzungu, maumivu ya mikono, mabegan n..k Uache.
Mim mimgonjwa wa vidonda vya tumbo pia nanifunga ramadhani yote Hali navidonda vya tumbo je vidonda vinaweza sababisha presha ya mtu kuongezeka?
 
Kabla ya kufanya chochote hapo ni lazima ujuwe pressure yako kupanda imesababishwa na nini,inaweza kuwa ni Unene,stress,Cholesterol,shida ya figo,unywaji wa pombe,uvutaji wa sigara,utumiaji sana wa vitu vyenye Caffein,chumvi nyingi au hata kurithi n.k.sasa ukishagundua kuwa kimoja wapo au vyote ni visababishi unatakiwa upate ushauri wa jinsi ya kupambana na hilo tatizo.Pia jaribu kupima sehemu mbili au tatu tofauti,wakati mwingine unaweza kuwa kipimo ulichotumia hakiko sahihi...
 
Wiki tatu kabla ya kuanza mfungo presha yangu ilikua normal naninavidonda vyatumbo so nimefunga nkiwa na vidonda vya tumbo jevidonda vya tumbo vinaweza sababisha presha kupanda? Pia kuhusu unene sio mnene Sana nna uzito wa 75kg na urefu 164cm so uzito wangu nimkubwa kidogo kulinganisha na urefu...pia kuhusu kurithi baba Ana presha kaipata akiwa naumri wamiaka55 nahii nikutoka nalife styel alokua akiishi ya vyakula na pia kwa upande wa mama hivo hivo
 
Wakuu habari zenu,

Kama nimevoandika hapo juu nimepima presha Leo na presha yangu ni kama hiyo nlioandika Ila sikuwahi kuwa na presha. Sasa wakuu ushauri wenu nianze dawa au nianze lishe ya kuacha wanga na sukari

Kwanza tafuta sababu nini kinapandisha pressure kupanda. Shida ya madaktari wetu wanaweza waka anza kukupa dawa bila ya kufanya utafiti wa kutosha nini ambacho kinapandisha pressure yako. Mimi nilipata hiyo shida Feb 2021 na immediately wakanianzishia dawa. Nikawahoji why then tukafanya vipimo vifuatavyo

1. ECO
2.ECG
3. Lipid profile .

Baada ya vipimo tajywa tukagundua Bad Cholesterol iko juu hivyo nika anza dozi ya pressure na cholesterol kwa mwezi mmoja na baada ya kupima Cholesterol na BP vikawa sawa. Mimi nime opt maisha ya kuishi bila dawa for now hivyo nimeacha kwanza

1. Matumizi ya chumvi
2. Matumizi ya pombe - I do wine rarely
3. Red meat and all saturated fats to avoid cholesterol
4. Nafanya mazoezi

So far iko vizuri ila pia avoid sana stress
 
Wiki tatu kabla ya kuanza mfungo presha yangu ilikua normal naninavidonda vyatumbo so nimefunga nkiwa na vidonda vya tumbo jevidonda vya tumbo vinaweza sababisha presha kupanda? Pia kuhusu unene sio mnene Sana nna uzito wa 75kg na urefu 164cm so uzito wangu nimkubwa kidogo kulinganisha na urefu...pia kuhusu kurithi baba Ana presha kaipata akiwa naumri wamiaka55 nahii nikutoka nalife styel alokua akiishi ya vyakula na pia kwa upande wa mama hivo hivo
Pima cholesterol na figo kama ziko sawa,kama viko sawa,fuata ushauri wa Sky Eclat hapo juu,anza kutumia dawa kwa kufuata ushauri wa daktari huku ukicontrol kwa mazoezi au kubadilisha life style yako,ikiweza kuwa normal utaweza pia kuacha dawa taratibu...
 
Mkuu kuna dawa nataka nikushauri kuitumia ila usiidharau... Ukishaitumia hiyo dawa ndani ya wiki moja jaribu kupima tena alafu ulete mrejesho tuone imekuwaje.
Dawa gani chief maana hata mimi naona sielewi elewi presha ilikuwa 131/77
 
Kwanza tafuta sababu nini kinapandisha pressure kupanda. Shida ya madaktari wetu wanaweza waka anza kukupa dawa bila ya kufanya utafiti wa kutosha nini ambacho kinapandisha pressure yako. Mimi nilipata hiyo shida Feb 2021 na immediately wakanianzishia dawa. Nikawahoji why then tukafanya vipimo vifuatavyo

1. ECO
2.ECG
3. Lipid profile .

Baada ya vipimo tajywa tukagundua Bad Cholesterol iko juu hivyo nika anza dozi ya pressure na cholesterol kwa mwezi mmoja na baada ya kupima Cholesterol na BP vikawa sawa. Mimi nime opt maisha ya kuishi bila dawa for now hivyo nimeacha kwanza

1. Matumizi ya chumvi
2. Matumizi ya pombe - I do wine rarely
3. Red meat and all saturated fats to avoid cholesterol
4. Nafanya mazoezi

So far iko vizuri ila pia avoid sana stress
Dawa za kuondoa bad cholestrol ni zipi maana nahisi hio ndio itakuwa inansumbua mimi hata kabla sijaipima tu manaa nakula nyama daily!
 
Back
Top Bottom