Msaada: Nina ndugu yangu ameibiwa simu na pesa

fdizzle

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,900
2,394
Nina ndugu yangu ameibiwa simu na pesa taslim laki mbili maeneo ya kariakoo.
Naomben msaada wa ushauri kama anaweza angalau kuipata hiyo simu au kama itashindikana kuiblock kabisa ili wakose wote.
Na risiti ya hiyo simu anayo naleta kwenu wadau mtusaidie mawazo.
Ahsanten
 
simu kupatikana ni rais ila mrani uwe na IMEI, Polisi watacheki na watu wa mtandao ili kila line itakayoingia mle watapewa taarifa
 
Nina ndugu yangu ameibiwa simu na pesa taslim laki mbili maeneo ya kariakoo.
Naomben msaada wa ushauri kama anaweza angalau kuipata hiyo simu au kama itashindikana kuiblock kabisa ili wakose wote.
Na risiti ya hiyo simu anayo naleta kwenu wadau mtusaidie mawazo.
Ahsanten

Kama Ana risiti Ina maana katika iyo risiti wameandika na IMEI namba ya iyo simu,kwaiyo ni rahisi kupatikana kama akienda police na kwenye kampuni ya iyo laini aliyokuwa anatumia kabla ya simu kuibiwa. Ni very simple, ila kwa nchi yetu sijui km itakuwa very simple kama huna mshiko wa izo process zote
 
Poleni sana,,,,nasikitika kukwambia kwamba wezi wa k/koo wameadvance sana,,,na wao wanamafundi wao wa kuhandle situation kama za hapo juu labda wawe vijugu tuu,,,Nakutakia kila la kheri,,AHSANTE KWA KUJA,,KARIBU TENA MJINI,,,
 
Naona umeleta sura ili uonekane na wew.Waungwana wameshaur kiungwana na wameeleweka wew unakurupuka na gongo zako zilizopikwa choon.
Mim nimezaliwa mjin wew umekuja mjin,kaa kimya!
 
Duu mkuu yani wewe ndio umeonekana wa kutoka kijijini jamaa kakujibu vzr sana hiyo simu hairudi labda useme pesa unaweza kurudishiwa ila sio simu kwa k koo.Mtaa wa Agrey mkuu wanabadili hadi IMEI hii habari ya Imei toka nijue kuwa K koo wanabadili nimepunguza tabia ya kununua simu za gharama sana hakuna kinachoshindikana Agrey na Likoma
 
Jarib kuelewa na wew,uyo nimemjib hivyo kwa kuwa hajaelewa nin nilichokipost,soma post uelewe ndio unatoa ushaur,labda nikuulze na wew unasema simu hatoipata labda pesa atazipata je umeelewa ulichoamdika?atapataje pesa wakat simu hawez kupata?
 
Nimekwambia kuipata hiyo simu ni ngumu kitu kidichowezekana kuna mtu kazungumza habari ya IMEI nimekwambia kuna mafundi wazuri sana kwa simu Agrey wanabadilisha hadi IMEI yani ilivyo ngumu kupata pesa ni ngumu kupata simu pia
 
wewe usiifunge simu tafuta kwa imei iliyopo katika risiti yako utaipata ukiifunga ikibadilishwa imei hutaipata mkuu..
 
Back
Top Bottom