Ili uweze kuwa na mafanikio ni vizuri ukatafuta "WAZO". Wewe una bahati kwa kuwa tayari una mtaji (laki 5). Ili uweze kupata wazo la biashara ni vyema ukaziangalia changamoto au matatizo yanayoizunguka jamii yako kisha yageuze "Fursa".
Mfano, pengine maaeneo hayo mkaa ni mwingi na hauna soko. Wewe unaanza kutafuta soko la mkaa na utaratibu wa kusafirisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.