Msaada: Nina Addiction na JF

Itakuwa kazi yako INA Uhuru sana hivyo lazima muda wako umalizie jf
 
Uza smart phone tumia Nokia Obama ndio tiba yake la sivyo utaendelea kuwa muathilika hii JF haijalishi una mda au hauna mda lazima uchungulie na ukichungulia kama ulipanga angalau dk 5 unajikuta saa nzima humo
 
Muda woooote najihisi kuwashwawashwa tu kuchangia au kuanzisha mada hapa pasina kujali kama mada ina mantiki au ni ya kipuuzi.
Ndiyo maana kila siku bibi yko analalamika bando inaisha kumbe huwa unamwibia simu akiwa hayupo.... Mm nikiwa Kama raia mwema sijakipenda hiki kitu...
 
Uza smart phone tumia Nokia Obama ndio tiba yake la sivyo utaendelea kuwa muathilika hii JF haijalishi una mda au hauna mda lazima uchungulie na ukichungulia kama ulipanga angalau dk 5 unajikuta saa nzima humo
Duuh mkuu hiyo sio tutakuwa tunaua inzi kwa nyundo?
 
Ok
tapatalk_1559320249204.jpeg
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom