msaada nimeup-grade Ubuntu 10.10,sasa inashindwa ku-reboot.

Sizinga

JF-Expert Member
Oct 30, 2007
8,759
2,000
hey kama kuna mtu yeyote anayejua solution nimekwama hapa. Nikitumia linux, Ultimate Edition ver. 2.8,sasa jana niliupgrade,leo asubuhi nimeiwasha inaload lakini imeshindwa ku-boot na message hii inakuja:
Alert! /dev/disc/by-uuid/b4adc1fc-7882-4834-ac12-ddcb52d8aa17 does not exist.
Dropping to a shell!

(initramfs)_

Nimejaribu vilevile ku-run katika recovery mode imefail kuboot, na lastly inaandika
(initramfs)_

so nadhani kuna commands,so how to proceed wanaJF??
 

YeshuaHaMelech

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
2,600
0
so nadhani kuna commands,so how to proceed wanaJF??
KDE, Gnome au XFCE?
GNOME: gnome-session (ikigoma tumia gdm)
KDE:startkde (ikigoma tumia kdm)
XFCE: startxfce4

Ukishindwa zote piga hii. Lazima uwe umeingia kama root user kwa kutumia sudo kabla ya command au su
startx
 

YeshuaHaMelech

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
2,600
0
hey kama kuna mtu yeyote anayejua solution nimekwama hapa. Nikitumia linux, Ultimate Edition ver. 2.8
Is there a distro with this name in Ubuntu?

Ubuntu 4.10 (Warty Warthog)
Ubuntu 5.04 (Hoary Hedgehog)
Ubuntu 5.10 (Breezy Badger)
Ubuntu 6.06 LTS (Dapper Drake)
Ubuntu 6.10 (Edgy Eft)
Ubuntu 7.04 (Feisty Fawn)
Ubuntu 7.10 (Gutsy Gibbon)
Ubuntu 8.04 LTS (Hardy Heron)
Ubuntu 8.10 (Intrepid Ibex)
Ubuntu 9.04 (Jaunty Jackalope)
Ubuntu 9.10 (Karmic Koala)
Ubuntu 10.04 LTS (Lucid Lynx)
Ubuntu 10.10 (Maverick Meerkat)
Ubuntu 11.04 (Natty Narwhal)https://wiki.ubuntu.com/DevelopmentCodeNames
List of Ubuntu releases - Wikipedia, the free encyclopedia
 

YeshuaHaMelech

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
2,600
0
Back up your Home folder and reinstall windows then drop back that folder into its place.
Always make backup before any upgrade!
 

Taso

JF-Expert Member
Jun 12, 2010
2,268
2,000
Ubuntu Linux 10.10 inachukua dakika kumi, kumi na tano mwisho, kufanya fresh install, huwa sijipi ma headache meengi kwa vitu kama updating ya OS kama inagomba, format the damn the thing and overhaul the OS. Kwanza ni njia ya kusafisha computer yako na vi junk files vilivyojazana kwenye system drive.

Ni rahisi zaidi kama data huwa zimetengwa, lakini kama umerundika mazagazaga yoooote ya computer kwenye partition moja hapo tatizo, usijaribu fresh install ya haraka haraka, utaumia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom