Msaada, nimepoteza NHIF kadi ya bima ya taifa ya afya

Fred Kingo

Member
Sep 7, 2015
33
1
Wanajamiii naomba msaada nimepoteza kadi ya bima ya afya ya taifa... Anayejua namna ya kupata nyingine na hata za kuifatilia kupata nyingine anisaidie....

Nawasilisha kwenu wadau..
 
Back
Top Bottom