Msaada nimepoteza ladha ya chakula na harufu

Ndugu zangu takriban nina siku mbili Sasa nimekosa kuhisi harufu Wala laza ya chakula ingawa leo kidogo laza imekuja kwa mbali snaa ila harufu bado sijaweza kuhis nitumie dawa gan?
Hongera kwa Kupona Corona
 
pole sana mkuu wangu..naomba nikuulize maswali machache
●je hupati homa?(mwili kuchemka)
●Je hujaugua mafua au kikohozi hivi karibuni?
● kifua hakikukuumi au kubana?
●Huharishi?
●Mwili hauukumi yaani maumivu ya viuongo?

kama majibu yote ni ndiyo kacheki x_ray kucomfirm kama una viral pneumonia(corona)
pia unaweza kupima vipimo vingine kujua zaidi.
Binafsi mimi ni daktar lakini hizo dalili zilinipata baada ya kupima nikakutwa na covid 19 hapa nilipo natumia matibabu na ninaendelea vyema
Ukifikia hatua ya kupoteza uwezo wa kunusa na radha ujue umepona covid ,yani kovidi imeshindwa nguvu na mwili uwezi kufikia hizo steji ulizo sema
 
Asante sana Dr! Ubarikiwe ngoja nikaulizie kwenye maduka ya dawa kama nitapata
 
Kaka nimeenda maduka ya dawa dawa zipo ila wananiuliza kama nimepewa na recommendations katika matumizi. Mfano naulizwa za matumizi ya siku ngapi? Hivyo naomba unisaidie mchanganuo Wa matumizi ndugu yangu. Pole kwa kukuchosha mkuu!
 
Siku mbili tu unalialia mi week sasa sinusi kitu ila homa imepona na kikohozi
Mimi ndio niko napambana nayo hapa, sipati harufu yoyote ile siku ya tatu ss, nilipima ni maralia na u.t.i nmetumia dawa wapiii, hali bado ikawa mby, now najifusha natumia malimao tangawizi kwa wingi, pia kuna dawa ya asili natumia mambo safi, korona Africa itapigwa kiafrika na co vinginevyo.
 
Anza mafusho, pia chukua limao changanya na kitunguu saumu, na tangawizi ponda chemsha zen iwe juisi yako hiyo, mm ndio imenipa ahueni leo mana wiki sasa nipo kitandani.
huo mchanganyiko wa limao na kitunguu saumu na tangawizi maji kiasi.gani mkuu naweka na je matokeo baada ya siku ngapi?
 
huo mchanganyiko wa limao na kitunguu saumu na tangawizi maji kiasi.gani mkuu naweka na je matokeo baada ya siku ngapi?
Maji Kadiria kdg tu yasiondoe ladha ya mchanganyiko au km utapata malimao yatakayojaza kikombe hupaswi kutia maji mkuu, matokeo kulingana na mwili wako, mm nmetumia leo na leo leo ndo nmepata ahueni, hapa naweza hata ku type lkn kuanzia jana nilikuwa hoi sana.
 
pole.mkuu na asante sana
 
pole.mkuu na asante sana
Mana nilienda hospitali nikapima nikakuta marelia na u.t.i, dawa nmemaliza mda lkn hali ikawa inazidi kuwa mby, kilichonistua ni kupoteza harufu mwili kuuma, na joto kali la mwili, lkn jioni hii nilipiga fusho nikachukua na hiyo grasi ya huo mchanganyiko ndo angalau sasa niko poa, kesho asubuhi tena napiga fusho zen mchanganyiko wangu siachi km kawaida.
 
fusho ndo unaweka ni na nn
 
Ndugu zangu takriban nina siku mbili Sasa nimekosa kuhisi harufu Wala laza ya chakula ingawa leo kidogo laza imekuja kwa mbali snaa ila harufu bado sijaweza kuhis nitumie dawa gan?
Kwa dalili hizo, ulikuwa na corona na sasa inakutoka
 
Mm ilinikuta hii nkatumia hizo ampilclox lakini wapi,mwili ulikua na joto,viungo kuuuma ,kuharisha kidogo ,koo linauma nkimeza mate kwenda kupima malaria hakuna uti hakuna ikabidi nichukua dozi ya azuma,vitamin c ,ped zinc na kutengeneza dawa ya kienyeji kama ya nimr ndo nkawa sawa
Nami nilipoenda hosp majibu niliyopewa nikapewa hayo na nikaandikiwa hizo dawa ndo Bado natumia mkuu ila huu ugonjwa unatesa sana mkuu achane tu
 
Mm ilinikuta hii nkatumia hizo ampilclox lakini wapi,mwili ulikua na joto,viungo kuuuma ,kuharisha kidogo ,koo linauma nkimeza mate kwenda kupima malaria hakuna uti hakuna ikabidi nichukua dozi ya azuma,vitamin c ,ped zinc na kutengeneza dawa ya kienyeji kama ya nimr ndo nkawa sawa
Ulichukua mda gan kulicover mkuu
 
Baada ya kupata dawa nashukuru naendelea kupata nafuu ila kwa Sasa nikiwa naongea na cm au mtu kwa mda mrefu nabanwa na pumzi Sasa naomba msaada wa namna ya kufanya mazoezi ya pumzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom