Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 395
- 358
Mimi ni mzaliwa wa Kahama(wazazi wako huko) ila kwa sasa ninaishi Morogoro, nimepotelewa na cheti changu cha kuzaliwa(nilikichukulia Kahama). Msaada wa namna navvyoweza kukipata kabla ya Jumatatu maana ni ishu ya haraka imetokea.
Natanguliza shukran
Natanguliza shukran