Msaada: Nimepigwa na upepo usoni nimepata na hali isiyoeleweka

Mkuu hebu anza kanisani maombi ama mskitini kama uko upande huo isije ikawa pepo chafu alikuwa anasafiri zake than nenda hospital Chap
 
Kiukweli huo Ni uchawi! Pole Sana tafuta njia ya kiroho utatue Hilo tatizo hospitali hawawezi kukusaidia trust me.
 
Naamin wote mko salama kwa uweza wa MWANA WA MUNGU ALIYE HAI.

Jana niliamka salama kabisa,nikatoka kidogo kwenda kutafutia watoto mboga,kufika tu kibandani nikapigwa upepo kidogo tu usoni ,
Nimerudi nyumbani naumwa usoni upende wa kulia kwa ndani,na nyuma ya sikio kama vile mishipa ndo inauma yani hata kutafuna kitu siwezi , ukweli nasikia maumivu dah! Msada kwa anayeweza kujua shida ni nini.
Umepatikana na upepo mbaya wa shetani aka pepo mchafu wa kupooza uso upandemmoja. Fuata ushauri wa watu usipo pona nitafute mimi nipate kukutibia ukifanya mchezo unaweza kupooza
upande mmoja wa uso.
BELLL PALSY.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom