Msaada: nimepigwa ban kutumia whatsup

Ninja assasin

JF-Expert Member
Jul 2, 2018
2,374
5,588
Naomba msaada jinsi gan naweza kuepukana na hii ban sijawahi tumia aina nyingine ya WhatsApp kama Gb WhatsApp kweny Sim yangu anae jua njia za kufuata anipe muongozo
20200425_133157.jpg
 
Huwa unasajili whatsap kwa hiyo namba mara nyingi? sometimes ukiwa unabadilbadili sana devices utaonekana msumbufu wanakuweka kando. halafu mbona kmam umepigwa ban ya maisha?
 
hua unasajili whatsap kwa hiyo namba mara nyingi? sometimes ukiwa unabadilbadili sana devices utaonekana msumbufu wanakuweka kando. halafu mbona kmam umepigwa ban ya maisha?
Yaap nimebadilisha phone kama Tatu hiv karibuni lakn hii Nina mda kama miezi 4 naitumia nimeamka nataka kuingia nakuta banned mzee Wala sijui sabubu nimejalibu kuwa tumia ujumbe hakuna nilichopata
 
Back
Top Bottom