Msaada, nimepatwa na hofu sana juu yake kwa tabia mpya alizonazo

mlianzana vp mlikutana wapi mpk mkawa wapenzi jibu kwanza hayo ili nijue upo serious
 
Pole sana kwa mtihani uliokutana nao,kesho usku kabla hujalala jitahdi ufunge milango yote na uzime taa zote then jifunike shuka ambalo ni transparent huku ukiwa umegeukia kwenye mlango wa kuingilia,hapo lazma utapata jibu lakn kabla hujafanya hilo jitahd kufanya maombi! Ikishindkana nitafute Pm nikupe hifadh kwa muda me nipo Mwanza sihtaj ku-take advantage nataka nikusaidie
 
Pole sana
Maombi ndio kila kitu
ila kwa ushauri wangu ingawa ni vigumu ni kwamba, jaribu kumpotezea na kuona kama hali ya kawaida,
Kuna msemo unasema ( DAWA YA UCHAWI NI KUUPOTEZEA ) ukiwa upo nao makini kuufatilia utaumia kichwa cha kufanya chukulia jambo la kawaida na kama unahisi mabadiliko ni vyema ufanye utaratibu kuwa mwenyewe au kuwa na mtu mwingine.
Kikubwa ni imani....
 
Asante mkuu
 
Ameen nitafanya ivo lakini ata napoongea na mtu faragha huwa ananiambia. Ninachoongea nahuyo mtu anayapata mawasiliano yangu hii ajabu sn afu hatumii smart phone
Uwiiii we dada una roho ngumu kuishi na jini aseee ni hatarii yaaan wee unatakiwa ukashinde kanisani
 
Back
Top Bottom