Msaada, nimepatwa na hofu sana juu yake kwa tabia mpya alizonazo

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,511
2,000
Habari za jioni wakuu , poleni na majukumu Yakutwa nzima.

Wacha niende kwenye point nisiwachoshe sana nipo katika mahusiano mwaka sasa. Nampenzi wangu huyu ambaye tayali ameshaanza ku process swala la ndoa.

Kinachonipa hofu na mashaka juu ya kaka huyu kunatabia mpya imezuka. Inanipa hofu
Napolala usiku nikistuka na mkita pembeni yangu
Na hana ufunguo wahala kwangu.
Napo muuliza anasema nilisahau kuufunga mlango ivo aliingia nakuufunga yeye. Kitu ambacho sikweli nilifunga na huakika.

Pia kuhusu kuoga namuhesabia kwasiku anaoga mara 8 adi 10 sasa hili linanichsnganya kila mda anaoga nashindwa kuelewa napomuuliza anasema kawaida tu.

Nimetoka kazini nimemkuta ndani na nyumba yangu nilifunga jioni hii nimeshangaa sana , namuuliza unaingiaje wakati nimefunga anasema mlango ulikua wazi.

Kingine nikwamba kwenye gari anayotumia kumekua ns harufu mpya ya marashi makali sana napo muuliza anasema yy hasikii. Naishi kwa mashaka sana.

Tabia hizi zinanitisha sana hasa hii yakuja nyumbn bila kujua anaingia vipi. Nimebadili kitasa nakuficha funguo zote nilijua anachonga funguo lakin napolala usiku namkuta seblen au kitandani nawaza sn pamoja na kubadili kitasa.

Nifanyeje nimeingiwa na hofu sana juu yake.
Hilo Jini......Umekwisha
 

Translator

JF-Expert Member
May 19, 2017
285
500
Kuna post yako nyingine yenye kichwa: Akiwa karibu napatwa na hasira.
Kama huyo uliachana naye ndipo ukawa na huyu wa sasa (nawaza tu), basi
huenda there is something fishy ambayo inahitaji mkono wa Mungu rafiki.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom