Msaada: Nimepata dharura nahitaji Mkopo wa milion mbili, nitarudisha baada ya mwezi mmoja kwa riba ya 20%

Mimi kama mfanyabiasha mstaafu wa kukopesha, wafanyabiashara wengi wajanja viwanja hawachukui, hiyo bodaboda mtu anachukua lakini sio kwa kukupa milioni 2 net, labda iwe mpya kabisaaaa..

Meza mate ya akili, ukikosa kabisa uza pikipiki fanya yako, hela ya kurudisha mkopo ununue tena pikipiki yako. (wazo la nyongeza)
 
Husika na kichwa cha habari.

Mimi ni dada mfanyabiashara, mpambanaji, ila nimekwama kidogo nahitaji mkopo wa Haraka takupa dhamana ya bodaboda (Mpya Haina hata mwaka) na dhamana ya kiwanja kipo Kigamboni, nimekwama jamani, anayefahamu mtu au taasisi kindly PM.

Asanteni
Mkopo ni 30% interest kwa siku 30.
 
Wakopeshaji nao WENGI walisikia dhamana Fulani Nia Yao SIO msaada...Bali watanufaikaje na hiyo dhamana , inakuwa Kama unawauzia tu...kuna MTU alichukuliwa gari Kwa 1.5m ilihali thamani yake si chini ya 5ml...LAKINI alifurukuta Sana kurejesha wapi..na Bora wangekuwa WANASEMA ukishindwa tunauza ..Kila mtu achukue chake...anyway tunajifunza pia kuhakikisha tunajiunga ktk mifumo ya pesa za kukopa kirahisi kama vikoba nk.
 
Nitakupatia kadi yake na dhamana means nikishindwa kulipa a utaiuza ( ingawa Nina uhakika sitashindwa mana ni pesa nahitaji kwa ajili ya kureplace machine moja wapo ya ofisini Kwangu) naweza kukupatia pia cash flow records za biashara yangu ili ujiridhishe

Mungu akujalie ufanikiwe. Mikopo mingi ya namna hii kwanza anaekupa anakesha kuomba na kusali ushindwe ili aweze kutaifisha mali zako . Utafanikiwa inshaallah.
 
Iyo bodaboda unamaanisha nitakuwa nikiiyangalia tu au unaniruhusu niitembelee au nakaa na kadi?

Pia nataka kufahamu kama ukishindwa kurudisha je tunataifisha hizo dhamana?!!!
Kama uko tayari nashida na mkopo wa 700,000 dhamana ni kadi ya gari nitarudisha 1,000,000 kwa miezi 5
 
Ungekuwa unauza hicho kiwanja angalau ila kukopeshana hapana
Ila ukitatua changamoto zako nitafute uingie sehemu ambayo ikiwa na dharura unapata ela
Ukiitaji mtaji unapata ela
Sehemu hiyo ni ipi na ina vigezo gani kuingia...am interested
 
waTz kwenye swala la huruma limewakaria kushoto sana

kaka ngoja nikueleze Mimi Sina hiyo pesa, Ila pia waTz wengi wazushi tu ,angalia hapo maswali yalivyojuwa mengi pasipo kujitokeza hata mrummoja ambaye anaweza kukupoa hiyo pesa.



Mtaznzania yupo lazi amnyime nduguye atumie pesa hiyohyo akalie Bata
watz tuwe waungwana
Wenye hela hawana huruma na wenye huruma hawana hela.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom