Msaada: Nimepata dharura nahitaji Mkopo wa million mbili, nitarudisha baada ya mwezi mmoja kwa riba ya 20%

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
17,186
2,000
Mimi kama mfanyabiasha mstaafu wa kukopesha, wafanyabiashara wengi wajanja viwanja hawachukui, hiyo bodaboda mtu anachukua lakini sio kwa kukupa milioni 2 net, labda iwe mpya kabisaaaa..

Meza mate ya akili, ukikosa kabisa uza pikipiki fanya yako, hela ya kurudisha mkopo ununue tena pikipiki yako. (wazo la nyongeza)
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
24,371
2,000
Husika na kichwa cha habari.

Mimi ni dada mfanyabiashara, mpambanaji, ila nimekwama kidogo nahitaji mkopo wa Haraka takupa dhamana ya bodaboda (Mpya Haina hata mwaka) na dhamana ya kiwanja kipo Kigamboni, nimekwama jamani, anayefahamu mtu au taasisi kindly PM.

Asanteni
Mkopo ni 30% interest kwa siku 30.
 
Nov 23, 2019
56
125
Wakopeshaji nao WENGI walisikia dhamana Fulani Nia Yao SIO msaada...Bali watanufaikaje na hiyo dhamana , inakuwa Kama unawauzia tu...kuna MTU alichukuliwa gari Kwa 1.5m ilihali tjqmani yake si chini ya 5ml...LAKINI alifurukuta Sana kurejesha wapi..na Bora wangekuwa WANASEMA ukishindwa tunauza ..Kila mtu achukue chake...anyway tunajifunza pia kuhakikisha tunajiunga ktk mifumo ya pesa za kukopa kirahisi kama vikoba nk.
 

officialBossmtoto

Senior Member
Jul 1, 2019
116
250
Nitakupatia kadi yake na dhamana means nikishindwa kulipa a utaiuza ( ingawa Nina uhakika sitashindwa mana ni pesa nahitaji kwa ajili ya kureplace machine moja wapo ya ofisini Kwangu) naweza kukupatia pia cash flow records za biashara yangu ili ujiridhishe

Mungu akujalie ufanikiwe. Mikopo mingi ya namna hii kwanza anaekupa anakesha kuomba na kusali ushindwe ili aweze kutaifisha mali zako . Utafanikiwa inshaallah.
 

XAMBA

New Member
Sep 3, 2021
3
20
Iyo bodaboda unamaanisha nitakuwa nikiiyangalia tu au unaniruhusu niitembelee au nakaa na kadi?

Pia nataka kufahamu kama ukishindwa kurudisha je tunataifisha hizo dhamana?!!!
kama uko tayar nashida na mkopo wa 700,000 dhamana ni kadi ya gari nitarudisha 1,000,000 kwa miezi 5
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom