Msaada: Nimepangiwa Mkopo katika chuo ambacho Sikukichagua

Comferm badala ya confirm

Anyway, ndugu mtoa mada unapaswa kwenda kwa loan officer wa chuo unachotaka kusoma atakupa muongozo jinsi ya kuhamisha huo mkopo
 
Itakuwa SAUT tu
Aisee hapo afisa mikopo chuo ulicho "comferm" ndo utete naye then atakupa utaratibu.
 
Comferm badala ya confirm

Anyway, ndugu mtoa mada unapaswa kwenda kwa loan officer wa chuo unachotaka kusoma atakupa muongozo jinsi ya kuhamisha huo mkopo
Oky sawa, hivi huwaga inachukua muda sana kufanya transfer ya huo mkopo mkuu?
 
Dogo hyo Mishe inatake time sana.. Ila utafanikiwa adha kubwa ni time interval.. Kama wazee wanafeza kidgo waambie wakupe bajeti ya kula mwezi nzima, ukisubiri hyo pesa utakufa njaa kijana
 
Shombe la kisomali,vp hujarudi chuo...!Nakumbuka mwaka jana ulivyo kuwa ukiangaika na admission ya SUA pamoja na kupata mkopo...!Natumai unafurahia maisha yako mapya ya chuo...!
 
Mwaka wa masomo ushaanza tena mkuu, karibu SUA "Home of Professors"
 
Back
Top Bottom