Msaada: Nimeomba kazi ya ukarani ila inaniambia "password or username incorrect"

je parle

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,879
3,617
Nimepakua fomu tayar na nishafanya kila kitu nataka kuenda kuappload kule kwenye profile.

Kila nikiingiza password waliyonitumia naambiwa incorrect wakati nimecopy na kupaste pia!

Nifanyeje niweze kufanikisha hili zoezi, maana leo ndio deadline.
 
Ingiza E-mail yako then fanya kama unafuta hivi (click mara moja kitufe cha kufuta),kuna space umeiongeza kwenye hiyo email. Then login
 
Mara nyingi kama email inakuja automatic kwenye huo mfumo basi kile kimstari cha kuandika/edit kinakuwa kimesogea mbele hivyo email inakua invalid
 
Nimepakua fomu tayar na nishafanya kila kitu nataka kuenda kuappload kule kwenye profile.

Kila nikiingiza password waliyonitumia naambiwa incorrect wakati nimecopy na kupaste pia!

Nifanyeje niweze kufanikisha hili zoezi, maana leo ndio deadline.
nicheck 0625768763
 
Back
Top Bottom