Msaada: Nimenunua umeme kupitia NMB mobile leo ni siku ya nne haujanifikia

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,305
3,327
Nilifikiri kuwapigia NMB customer care lakini sifahamu namba yao, kwa mwenye nayo ama ushauri tofauti naomba anisaidie.
 
Ndio mara ya kwanza au?
Mimi nilishawahi kujiunga na mobile banking ya crdb.. Nikatoa laki mbili kuihamisha ije tigo pesa wakasema network down.. Nikajaribu tena ikawa hivyo hivyo.. Mara nne nikajaribu... Kesho yake nikajaribu mara ya tano ikaja ile laki mbili.. Kukaa lisaa limoja zile try zote zikaja kwa hio nikawa na milioni kwenye tigo pesa.. Nikaitoa nikatupa line na mobile banking sitaki kuisikia kabisa .. Washenz sana wanakurupuka kwa mambo ambayo hawayawezi... Na kazi za kuajiri kujuana na ushemeji matokeo yao ndio hayo ufanisi hakuna ...
 
Hahahahahaha nimecheka km mazuri yaani so ukavunjavunja kalain hahahaha tigo ni sometime ni jipu!!
 
Rahisi
Nenda Tanesco wambie umenunua umeme kupitia sim hujapata token unapewa muda huo huo. Taja kiwango cha pesa ulichonunulia na tarehe.
 
Wasiliana na CAG isije ikawa kama ya MSD miaka mitatu foleni kali ya chang'ombe Muhimbili
 
Mkuu! kiukweli suala lako ni nyeti! mm sijui namna ya kuwasiliana nao! lkn ebu siku nyingine usirudie, bora ununue kwa mobile money service (mpesa,tigopesa,airtelmoney etc )
Pole!
 
Ndio mara ya kwanza au?
Mimi nilishawahi kujiunga na mobile banking ya crdb.. Nikatoa laki mbili kuihamisha ije tigo pesa wakasema network down.. Nikajaribu tena ikawa hivyo hivyo.. Mara nne nikajaribu... Kesho yake nikajaribu mara ya tano ikaja ile laki mbili.. Kukaa lisaa limoja zile try zote zikaja kwa hio nikawa na milioni kwenye tigo pesa.. Nikaitoa nikatupa line na mobile banking sitaki kuisikia kabisa .. Washenz sana wanakurupuka kwa mambo ambayo hawayawezi... Na kazi za kuajiri kujuana na ushemeji matokeo yao ndio hayo ufanisi hakuna ...
Shukuru hata ziliingia.
 
Mkuu umenichekesha mmo!
kwakweli hawa jamaa wanakera,mimi nilinunua mara nne nikajikuta nimeingia kwenye budget ambazo sikuzipanga kwani nilikuta nina umeme kibao lakini bado ile transaction ya mwisho mpaka leo haija fika.
 
Hapa utaona jinsi wahusika wa tanesco walivyo lala usingizi mzito,naamini wapo humu na wanasoma changamoto za namna lakini hawatoi ushaur wowote,kimaingi kuna umbali mrefu sana kati ya wateja wa tanesco na wateja wao,sio sawa na makampuni ya simu 24hrs unapohitaji msaada wako online
 
Mie iliwahi kunitokea nitakawapigia nmb wakanisomea namba ya umeme nilionunua kwenye system yao nikaweka kwenye luku yangu ikakubali.
Wapigie kwa simu uliyonunulia umeme au uwe na namba ya simu uliyonunulia umeme kwani ndiyo watatumia kuangalia hayo manunuzi

namba yao ya customer care ni 0800112233
 
Nmb mobile ni wahuni sana nilijitumia pesa kwenda mpesa haikuenda na Salio walikata baada ya siku mbili kupita waliirudisha pesa yangu.

Hawaaminiki
 
Andika kwenye vitabu vyako Token in Transit (Prepaid electricity Token) ni vitu vya kawaida tuu siyo cha kuandika Thread ikija Just Offset it.
 
Back
Top Bottom