Msaada: Nimenunua soda na kukuta ina uchafu ndani yake lakini ilikuwa bado imefungwa

Hiyo ni hali ya kawaida sana kukuta uchafu kwenye soda.
Wewe cha ziada pambana na hali yako.

Binafsi, sinywi huo ujinga eti soda.
Yaani, natumia Blenda na Matunda ndani ya dakika 5 tu napata ladha ya soda yoyote ninayohitaji.

Endeleeni kunywa mikojo ya watu kisha unataka kuidai kampuni eti fidia.
 
Kuna mshikaji alikunywa kumbe inamchanganyo na Yale machemical ya kusafishia chupa,Jamaa Jamaa hakudhulika ila alikua fala akakurupuka aliisjia kupelekwa hospital na kupewa m.1
 
Mkuu unasubiri nini kafungue kesi ...marekani hio.ni bonge la kesi na fidia yake unauaga umasikini ni mamilioni ya dola za marekani...mana kama ni sumu je yani hapo kesi nzuri kweli hio

What goes around always comes around
 
Kulipwa hapo si jambo jepesi hasa katika suala hilo mana ili uweze kulipwa ni mpaka kinywaji hicho kilete madhara mwilini mwako na lazima Dr athibitishe kuwa maradhi uliyoyapata yamesababisha na kinywaji hicho, tofauti na hivyo hakuna malipo. Na hata kama utaamua kuipeleka hiyo soda TFDA kwa ninavyoelewa uzalishaji wa soda unavyokuwa ni kesi ndogo sana mfano mzalishaji anaweza kujitetea kuwa chujio (strainer) ya soda kabla ya kujazwa kwenye chupa ilitoboka wakati uzalishaji unaendelea hivyo nimeshaibadili na saivi hakuna shida na nimepunguza muda wa kufanya ukaguzi wa hiyo chujio kutoka masaa manne mpaka masaa mawili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma hii case

Donoghue vs stevenson (1932)

soma facts na ruling yake. Baada ya hapo utajua la kufanya.

Naona soon utakuwa tajiri hata zile noah zetu usipopata huna cha kupoteza.

Utalipwa pesa zaidi ya zile za makinikia.

Nb leta mrejesho.
The case cited hereto (decided by Lord Atkin) does not applied here. Since the clamant did not drink even a tiny puff of a drink!. The main qns here are;

1. Is the claimant a neighbour of a company??
2. did the claimant suffered/sustained any injury or damages??.

Here the company many be liable on other circumstances rather than this one u argues!.
 
The case cited hereto (decided by Lord Atkin) does not applied here. Since the clamant did not drink even a tiny puff of a drink!. The main qns here are;

1. Is the claimant a neighbour of a company??
2. did the claimant suffered/sustained any injury or damages??.

Here the company many be liable on other circumstances rather than this one u argues!.
my dia, i do believe that u know this case.

In Donoghue vs stevenson's case, the P. Sued the manufucturer for:

1: psychological harm (shock)
2: gastroenteritis stomach flu

therefore i was interested with no 1.

The manufucture of a product have a legal duty to customer to take a reasonable care that the product is free from defect likely to cause injury.

Anyway that was my mind.
 
hivi unaweza kuthibitisha mahakamani kuwa ule uchafu hukuuweka wewe ili upige hela?
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom